Home » » RAIS MHE. DKT. SAMIA AZINDUA MPANGO WA MIAKA MITANO WA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO

RAIS MHE. DKT. SAMIA AZINDUA MPANGO WA MIAKA MITANO WA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO

Written By CCMdijitali on Monday, June 16, 2025 | June 16, 2025

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Mpango wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo kitaifa kwa mwaka 2024/2025- 2028-2029 katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya heshima na shukrani kutoka kwa Mwenyekiti wa wafugaji Ndugu Mrida Mshote mara baada ya kuzindua Mpango wa Miaka Mitano wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya heshima na shukrani kutoka kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji mara baada ya kuzindua Mpango wa Miaka Mitano wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025. 






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akihutubia viongozi mbalimbali, wafugaji pamoja na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link