Mkutano wa kujitambulisha Wagombea Ubunge na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha, Kata ya OLASITI
MKOA WA ARUSHA
Jimbo la Arusha Mjini
(1) Ndugu Ally Said BABU
(2) Ndugu Hussein Omarhajji GONGA
(3) Ndugu Aminatha Salash TOURE
(4) Ndugu Mustapha Said NASSORO
(5) Ndugu Paul Christian MAKONDA
(6) Ndugu Lwembo Mkwavi MGHWENO
(7) Ndugu Jasper Augustino KISHUMBUA
📆 August 31, 2025
📍OLASITI, ARUSHA
 |
PICHA YA WABUNGE WATEULIWA |
 |
Ndg Hussein Gonga akijitambulisha mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata ya Olasiti. |
 |
Ndg Hussein Gonga akijitambulisha mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata ya Olasiti. |
 |
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata ya Olasiti. |
 |
Cde Makonda akijitambulisha mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kata ya Olasiti. |