MIUNDOMBINU YA ELIMU ZANZIBAR SASA YALINGANA NA MAHITAJI YA KARNE YA 21

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mazin...

Latest Post

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA WAHANDISI

Written By CCMdijitali on Friday, September 2, 2016 | September 02, 2016

NA ATEMBELEA KIKOSI CHA ANGA MAJUMBA SITA UKONGA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo 
Septemba 1, 2016

 Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata picha ya  pamoja na Wanajeshi wa JWTZ Kikosi cha Anga 603 KJ Majumba Sita Ukonga jijini Dar es salaam  alikotembelea kuwapongeza kwa kusherehekea miaka 52 ya Jeshi la Wananchi leo Septemba 1, 2016


  Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuwaunga mkono na kuwatumia wahandisi wa ndani wenye ujuzi mbalimbali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo 
ujenzi wa viwanda, reli, barabara na miundombinu mingine.

Hayo yamesema na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, alipokuwa akifungua Mkutano wa 14 wa mwaka wa wahandisi unaofanyika kwa 
siku mbili kuanzia leo tarehe 01 Septemba, 2016 katika ukumbi wa 
Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Magufuli amesema atafurahi kuona miradi inayohusisha kazi za kihandisi na hasa wakati huu ambapo nchi inaelekea katika uchumi wa viwanda inatekelezwa kwa
 kutumia wahandisi wa ndani na hivyo amewataka kujipanga sawasawa ili 
kukabiliana  na changamoto hiyo.


"Nyinyi wahandisi mkiamua nchi hii iende kwenye uchumi wa kati tutafika, mkiamua 
nchi hii iende kwenye uchumi wa viwanda tutafika, na msipoamua hatutafika.

"Sasa hivi kuna ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (Standard gauge) kwani
 nyinyi mnashindwa kujenga?" Amehoji Rais Magufuli huku akisisitiza kuwa Serikali 
yake ipo tayari kuwaunga mkono pale watakapohitaji msaada.

Hata hivyo Dkt. Magufuli amewakumbusha umuhimu wa kufanya kazi kwa ubora, ushirikiano na upendo miongoni mwao huku akielezea kusikitishwa kwake na baadhi ya wahandisi ambao wamekuwa wakifanya vitendo vya ukiukwaji wa maadili ikiwemo kushirikiana na wakandarasi na wazabuni kuzidisha viwango vya makadirio ya gharama
 za miradi na manunuzi ya Serikali ili kujipatia fedha isivyo halali na kupitisha 
miradi iliyojenga chini ya viwango.

Rais Magufuli ameongeza kuwa Serikali yake itaendelea kuchukua hatua kali dhidi ya wote wanaotumia vibaya fedha za umma na amesisitiza kuwa hatua zaidi za kuhakikisha kunakuwa na nidhamu katika matumizi ya fedha za Serikali zitachukuliwa.

"Kuna watu wanasema mzunguko wa pesa umepungua na hali imekuwa ngumu, hizo 
pesa zilizokuwa zinachezewa huko mitaani zilikuwa pesa za Serikali, mimi nataka 
pesa ziende kwenye miradi ya maendeleo na ndio maana bajeti ya maendeleo
 tumeongeza  kutoka asilimia 26 hadi asilimia 40" Amesisitiza Rais Magufuli.

Katika tukio jingine, Rais Magufuli amewatembelea Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kikosi cha 603 (Air Wing) kilichopo Ukonga Jijini Dar es Salaam na kuwapongeza kwa kuadhimisha miaka 52 ya tangu kuanzishwa kwa Jeshi hilo.

Katika kuadhimisha miaka 52 ya JWTZ Askari wa Jeshi hilo wamefanya usafi 
katika maeneo mbalimbali.

Pamoja na pongezi hizo Rais Magufuli amekagua baadhi ya ndege zinazotumiwa na Jeshi hilo na amewahakikishia Wanajeshi kuwa Serikali yake itaendelea kuliimarisha Jeshi
 hilo kwa vifaa na maslai ya Askari ili kuendelea kuwa na Jeshi bora, la kisasa na 
lililo tayari kuilinda nchi wakati wote.


Gerson Msigwa 
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es Salaam 
01 Septemba, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA WAHANDISI

Written By CCMdijitali on Thursday, September 1, 2016 | September 01, 2016

NA ATEMBELEA KIKOSI CHA ANGA MAJUMBA SITA UKONGA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifungua Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo 
Septemba 1, 2016

 Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipata picha ya  pamoja na Wanajeshi wa JWTZ Kikosi cha Anga 603 KJ Majumba Sita Ukonga jijini Dar es salaam  alikotembelea kuwapongeza kwa kusherehekea miaka 52 ya Jeshi la Wananchi leo Septemba 1, 2016


  Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuwaunga mkono na kuwatumia wahandisi wa ndani wenye ujuzi mbalimbali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo 
ujenzi wa viwanda, reli, barabara na miundombinu mingine.

Hayo yamesema na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, alipokuwa akifungua Mkutano wa 14 wa mwaka wa wahandisi unaofanyika kwa 
siku mbili kuanzia leo tarehe 01 Septemba, 2016 katika ukumbi wa 
Mlimani City Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Magufuli amesema atafurahi kuona miradi inayohusisha kazi za kihandisi na hasa wakati huu ambapo nchi inaelekea katika uchumi wa viwanda inatekelezwa kwa
 kutumia wahandisi wa ndani na hivyo amewataka kujipanga sawasawa ili 
kukabiliana  na changamoto hiyo.


"Nyinyi wahandisi mkiamua nchi hii iende kwenye uchumi wa kati tutafika, mkiamua 
nchi hii iende kwenye uchumi wa viwanda tutafika, na msipoamua hatutafika.

"Sasa hivi kuna ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (Standard gauge) kwani
 nyinyi mnashindwa kujenga?" Amehoji Rais Magufuli huku akisisitiza kuwa Serikali 
yake ipo tayari kuwaunga mkono pale watakapohitaji msaada.

Hata hivyo Dkt. Magufuli amewakumbusha umuhimu wa kufanya kazi kwa ubora, ushirikiano na upendo miongoni mwao huku akielezea kusikitishwa kwake na baadhi ya wahandisi ambao wamekuwa wakifanya vitendo vya ukiukwaji wa maadili ikiwemo kushirikiana na wakandarasi na wazabuni kuzidisha viwango vya makadirio ya gharama
 za miradi na manunuzi ya Serikali ili kujipatia fedha isivyo halali na kupitisha 
miradi iliyojenga chini ya viwango.

Rais Magufuli ameongeza kuwa Serikali yake itaendelea kuchukua hatua kali dhidi ya wote wanaotumia vibaya fedha za umma na amesisitiza kuwa hatua zaidi za kuhakikisha kunakuwa na nidhamu katika matumizi ya fedha za Serikali zitachukuliwa.

"Kuna watu wanasema mzunguko wa pesa umepungua na hali imekuwa ngumu, hizo 
pesa zilizokuwa zinachezewa huko mitaani zilikuwa pesa za Serikali, mimi nataka 
pesa ziende kwenye miradi ya maendeleo na ndio maana bajeti ya maendeleo
 tumeongeza  kutoka asilimia 26 hadi asilimia 40" Amesisitiza Rais Magufuli.

Katika tukio jingine, Rais Magufuli amewatembelea Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kikosi cha 603 (Air Wing) kilichopo Ukonga Jijini Dar es Salaam na kuwapongeza kwa kuadhimisha miaka 52 ya tangu kuanzishwa kwa Jeshi hilo.

Katika kuadhimisha miaka 52 ya JWTZ Askari wa Jeshi hilo wamefanya usafi 
katika maeneo mbalimbali.

Pamoja na pongezi hizo Rais Magufuli amekagua baadhi ya ndege zinazotumiwa na Jeshi hilo na amewahakikishia Wanajeshi kuwa Serikali yake itaendelea kuliimarisha Jeshi
 hilo kwa vifaa na maslai ya Askari ili kuendelea kuwa na Jeshi bora, la kisasa na 
lililo tayari kuilinda nchi wakati wote.


Gerson Msigwa 
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es Salaam 
01 Septemba, 2016

TUKIO LA KIHISTORIA LA KUPATWA KWA JUA RUJEWA MBALARI MKOANI MBEYA...

 Baadhi ya Wanasayansi kutoka nje ya Nchi ya Tanzania wakipata Taswira ya tukio hilo la kupatwa kwa Jua tukio lililo onekana vyema Eneo la Rujewa Mbalari Mkoani Mbeya.

Maelfu ya Watu kotoka Sehemu Mbalimbali Duniani walijitokeza kwa wingi kushuhudia tukio kubwa la Kihistoria Duniani la kupatwa kwa Jua lililo onekana vyema katika Eneo la Rujewa Relini Wilayani Mbalari Mkoani Mbeya ni Mara baada ya Miaka Mingi tukio hili kutokea Duniani, wengi wafarijika kushuhudia tukio hilo la Kihistoria la kupatwa kwa Jua.

 Taswira ya Muonekano wa Jua likipatwa.

 Mkuu wa mkoa wa mbeya kulia Mh.Amos Makalla akizungumza jambo na Mdau Kutoka Katika Eneo la Tukio Rujewa Mbalari Mkoani Mbeya.

Mitambo Ikiwekwa sawa.


 Picha zikichukuliwa na Wapiga picha.
 Baadhi ya watu Walio hudhuria Eneo la Tukio.
 Biashara Zikiendelea..
 "Njoo Rafikiiii  Mambo yamenogaaaaaa"
 "Mpaka kieleweke Hapaaa"
 Migahawa ya Vyakula Iliamia eneo la Tukio kutoa Huduma ya Chakula.
Burudani ya  Ngoma Za Asili Ikitolewa.

Mkuu wa Wilaya Arusha Mhe Gabriel Daqarro atembelea Ofisi za Chama Wilaya Arusha na Mkoa .


 

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha,kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa (MNEC) Mzee Lekule Laizer, Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa Ndg Shaaban Mdoe, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli na Katibu wa Jumuiya WAZAZI Wilaya ya Arusha Ndg Mohamed Mavallah leo 01 Sept. 2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akiwasili katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha,kulia kwake ni Katibu wa Jumuiya WAZAZI Wilaya ya Arusha Ndg Mohamed Mavallah leo 01 Sept. 2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akisalimiana na  Mwenyekiti wa CCM Mkoa (MNEC) Mzee Lekule Laizer,mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli  akisalimiana na  Mwenyekiti wa CCM Mkoa (MNEC) Mzee Lekule Laizer,mara baada ya kuwasili  katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akiwa na Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Mkoa Ndg Hillaly Sood  katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa (MNEC) Mzee Lekule Laizer akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro mara baada ya kumtembelea Ofisini kwake akiwa ameambatana  na Viongozi wa Chama Wilaya ya Arusha.

 Kushoto - kulia ni Katibu wa UWT Mkoa wa Arusha Bi Fatuma Tse, Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Mkoa Ndg Hillaly Sood  na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016

Kushoto ni  Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Mkoa Ndg Hillaly Sood  na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016



 Kushoto ni  Katibu wa Uchumi na Fedha CCM Mkoa Ndg Hillaly Sood  na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, leo 01 Sept. 2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli pamoja na baadhi ya Viongozi wa Jumuiya na Wafanyakazi wa CCM Wilaya,katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha ,leo Sept. 01,2016


  Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,leo Sept. 01,2016

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro akiagana na Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari mara baada ya kutembelea Ofisi za Chama Wilaya ,leo Sept. 01,2016





 MNEC wa Wilaya ya Arusha Ndg Godfrey Mwalusamaba (kushoto),mfanya biashara maarufu Jijini Arusha Ndg Morris Nyangabo na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,leo Sept. 01,2016 katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua.

 MNEC wa Wilaya ya Arusha Ndg Godfrey Mwalusamaba (kushoto) na Katibu wa Jumuiya WAZAZI Wilaya ya Arusha Ndg Mohamed Mavallah leo 01 Sept. 2016 katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua.


Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabriel Daqarro na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli, wakiteta jambo na wadau wa Utalii Mkoani Arusha, Ofisi za Chama Wilaya ,leo Sept. 01,2016

Controversy as Trump addresses immigration in Mexico

US presidential candidate Donald Trump delivers a joint press conference with Mexican President Enrique Pena Nieto (out of frame) in Mexico City on August 31, 2016. AFP PHOTO | YURI CORTEZ 


By AFP
More by this Author

In Summary

  • The visit came in the heat of the US presidential race, with Trump trailing Clinton in most polls.

  • Trump has routinely assailed Mexicans who illegally cross the border into the United States.

  • Trump has recently discussed prioritising the deportation of illegal immigrants with criminal records.

PHOENIX
Republican White House hopeful Donald Trump traveled to Mexico Wednesday to tell President Enrique Pena Nieto that he will erect a border wall if elected, but controversy erupted over whether they discussed who would pay for it.

The tense international trip saw Trump navigating a political tightrope just 69 days before the US presidential election, as he seeks to clarify his stance on his campaign's signature issue: immigration.

Trump spent just hours on the ground in Mexico City before jetting back north to deliver a highly anticipated immigration policy speech in Phoenix.

After a year of lobbing insults across the border, the provocative billionaire candidate made the surprise visit to Mexico, seeking to seize control of the narrative and portray himself as a capable statesman on the international stage.

"We recognise and respect the right of either country to build a physical barrier or wall on any of its borders," Trump said at the presidential residence after he and Pena Nieto held closed-door talks.

He said they did not discuss who would foot the bill, despite Trump persistently stating throughout his campaign that Mexico would bear the financial burden for the highly controversial project.

"We didn't discuss who pays for the wall," Trump said.

Pena Nieto did not correct Trump at the press conference after their meeting, but later offered a contradictory account.
"At the start of the conversation with Donald Trump I made it clear that Mexico will not pay for the wall," Pena Nieto wrote on Twitter.

After that "the conversation covered other issues, and proceeded in a respectful manner," he wrote.

It was a day of high drama for both men, who found themselves face to face after exchanging criticisms from afar over the past year.

In a statement, the Trump campaign described the visit as "the first part of the discussion and a relationship builder.

"It was not a negotiation, and that would have been inappropriate," Trump communications advisor Jason Miller said.

"It is unsurprising that they hold two different views on this issue, and we look forward to continuing the conversation."

Trump's Democratic rival Hillary Clinton pounced, with her team arguing that Trump "lied" about whether he defended the centerpiece of his campaign when it counted.

"Trump just failed his first foreign test," Clinton tweeted. "Diplomacy isn't as easy as it looks."

Trump launched his campaign last year by declaring that Mexico was sending "rapists" and other criminals across the border. Months later, Pena Nieto likened Trump's isolationist positions to those of Nazi leader Adolf Hitler and fascist Benito Mussolini.

On Wednesday, prior to his tweet, Pena Nieto was more diplomatic.

"Even though we may not agree on everything, I trust that together we'll be able to find better prosperity and security."

But he did not hide the fact that many in his country have felt the sting of Trump's harsh rhetoric.

"Mexican people felt hurt by the comments made," Pena Nieto said alongside Trump. "But I'm sure that the genuine interest is to build a relationship that will give both of our societies better welfare."

Trump stunned the political establishment with his sudden trip south of the border, and it was clearly hostile territory.

"Trump not welcome in Mexico, not by me nor the 130 million Mexicans," tweeted the country's former president Vicente Fox.

The visit came in the heat of the US presidential race, with Trump trailing Clinton in most polls.

Pena Nieto, whose approval rating has plummeted since his 2012 election, also invited Clinton, but the former secretary of state's campaign has announced no plans for a visit.

She had choice words for Trump, however, upbraiding him for his Mexican "photo op" and signalling it was no way to build leadership credibility.

"It certainly takes more than trying to make up for a year of insults and insinuations by dropping in our on neighbors for a few hours and then flying home again. That is not how it works," Clinton said at an American Legion meeting in Ohio.

Trump has routinely assailed Mexicans who illegally cross the border into the United States.

Hard line immigration policies are a key plank of his campaign, but Trump has mulled whether to soften his positions, particularly the call early in his campaign to deport some 11 million undocumented migrants living in the shadows.

His Phoenix speech is seen as an opportunity to clarify his policy.

Trump has vacillated between reaching out to minorities and returning to the anti-immigration rhetoric admired by his most ardent supporters, mainly white working-class males.

He is threading a political needle. Trump has recently discussed prioritising the deportation of illegal immigrants with criminal records.

Critics and supporters will be watching closely to see whether Trump outlines any provisions that would allow some undocumented immigrants to stay in the country legally.

Former US envoy Michael Ranneberger pays 20 cows dowry for his Maasai bride

Former US ambassador to Kenya Michael Ranneberger after handing over a herd of 20 cows to his mother-in-law Grace Messopirr (centre) as dowry for his wife Ruth Konchella (left) in Ololchani Village, Trans Mara West, in Narok County, on August 30, 2016.

By RUTH MBULA | Daily Nation

In Summary

  • Mr Ranneberger gave his mother-in-law, Grace Mesoppirr, 20 cows as dowry.

  • He said he was happy to be part of the family and promised to give more cows in future.

  • Ms Konchella was also given a new name – Nayiolo – which means "the one who remembers home".

  • During the ceremony, villagers enjoyed plenty of Maasai delicacies, including a dish known as munono.


It was a simple ceremony, attended only by family members and immediate neighbours.

But despite its simplicity, the ceremony was of great symbolic significance.

And at the end of it all, Ruth Konchella officially became the wife of former US ambassador to Kenya Michael Ranneberger.

The former envoy, who is fondly known by residents of Ololchani Village in Kilgoris Town as Olomunyak (meaning "the blessed one"), gave his mother-in-law, Grace Mesoppirr, 20 cows as dowry.

Ms Konchella was also given a new name – Nayiolo – which means "the one who remembers home".

Ms Messopirr was overwhelmed with emotions as she received the herd of healthy cows from her son-in-law.

“They really surprised me. They did not tell me that they were coming to pay dowry,” an elated Ms Mesoppirr told Nation.co.ke.

“I am very happy that this has happened. My daughter officially has a home now. She now belongs to Mr Ranneberger,” she added jokingly.

BROKE INTO DANCE

And to crown her joy, she broke into song and dance, while wishing the two lovebirds well in their marriage.

Mr Ranneberger says he felt it was important to fulfil all traditional requirements of the marriage.

“I love my wife,” he said.

Mr Ranneberger explained that before buying the 20 cows, he made inquiries about the ideal number of cattle one was required to present to his in-laws.

“I was told eight. But because she is an exceptional lady, I decided to give out more,” he says.

He moved the gathering into laughter when he revealed how difficult it was to negotiate the prices of the cows at the Kilgoris cattle market.

“They hiked the prices because they saw a white man. It was really difficult to negotiate a favourable price,” he said.

He added that he was, however, happy that he managed to buy the best cows for his mother-in-law.

Mr Ranneberger apologised to his mother-in-law for not paying the dowry earlier.

“It is true we have been married for at least 10 years, but as the saying goes, better late than never. I am finally here,” he said.

He explained that his busy schedule working for the US government made it difficult for him to "formalise their marriage the traditional way".

PRIVATE CITIZEN

“I now have the freedom to enjoy being in Kenya as a private citizen, much more with my family,” he said.

“It feels good to be in the village far away from the noisy cities in the US,” he added.

He then went on to praise his mother-in-law.

“She is a great woman. She ensured my wife and her other brothers and sisters got education. More so, she protected her from female genital mutilation that often deny Maasai girls a chance for a better life,” he says.

He said he was happy to be part of the family and promised to give more cows in future.

“We will also build a modern house for her, just to show our great love to her. I know how much my wife loves her mother and I just want to make her happy,” he said.

BLESSINGS FROM ELDERS

Ms Konchella, for her part, said: “I am excited. We had a successful ceremony and we have received blessings from elders.”

She explained that they organised the ceremony at her mother’s maternal home because her father died a long time ago.

During the ceremony, villagers enjoyed plenty of Maasai delicacies, including a dish known as munono.

According to an elder and a relative, Bernard Konchella, munono is a traditional Maasai meal where meat, fat and blood are cooked together.

Mr Konchella said they were pleased to receive their son-in-law and were humbled by his humility and respect for their traditions.

“We know how big he is. But he has humbled himself and values us as his family,” he said.

He said the dowry ceremony was important for Mr Ranneberger as it indicated that he respects (African) traditions.

“We now know that despite all his money and fame, he values family,” said Mr Konchella.

He added: “Their marriage is now sealed and we have officially given Ruth to him.”

 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link