KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA NDG SOPHIA ISLAM KATA YA UNGA LTD (mwenye mtandio wa njano) NA MWENYEKITI WA CCM KATA YA UNGA LTD NDG SOPHIA MUNISS (kushoto kwa Ktb wa Wilaya) NA BAADHI MAKATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM KATA NA MATAWI LEO KATIKA OFISI YA CCM WILAYA YA ARUSHA MARA BAADA YA KIKAO.
KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA KATIKA KIKAO CHA MAKATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM KATA NA MATAWI LEO KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.
KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA KATA YA SEKEI NDG AHMED CHAHA AKISALIMIANA NA MWENYEKITI WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA NDG MARTIN MUNISS KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM KATA YA LEVOLOSI NDG ABUBAKAR AKITETA JAMBO NA BAADHI YA VIONGOZI WENZAKE KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.
KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA AKITOA NASAHA KWA MAKATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM KATA NA MATAWI LEO KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.
MAKATIBU WA SIASA NA UENEZI WAKIMSIKILIZA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.
KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA TAWI LA OSTERBAY NDG HILDA AKITETA JAMBO NA KATIBU WA SIASA NA UENEZI KATA YA THEMI NDG SHAABAN MASSAWE,KUSHOTO KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA TAWI LA UNGA LTD NDG MUHONE AKITAFAKARI JAMBO KWA KINA.
KATIBU WA SIASA NAUENEZI AKICHANGIA HOJA KATIKA KIKAO HICHO KILICHOFANYIKA KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.
MWENYEKITI WA CCM KATA YA UNGA LTD NDG SOPHIA MUNISS AKIWA KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA. AKIWA KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.
KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA KATA YA UNGA LTD NDG SOPHIA ISLAM AKIWA KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.
KUSHOTO - KULIA : KATIBU WA UCHUMI NA FEDHA KATA YA UNGA LTD NDG SOPHIA ISLAM NA MWENYEKITI WA CCM KATA YA UNGA LTD NDG SOPHIA MUNISS WAKIWA KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.AKIWA KATIKA OFISI YA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA.