AKUTANA NA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA LEVOLOSI
NA MATAWI LEO
NA MATAWI LEO
KUSHOTO - KULIA NI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA NDG ABRAHAMAN MAPANDE,MWENYEKITI WA CCM KATA YA LEVOLOSI NDG SANGITO SUMARI NA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA , KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA LEVOLOSI NA MATAWI LEO .
VIONGOZI WA CCM KATA YA LEVOLOSI NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA LEVOLOSI NA MATAWI WALIOKUTANA LEO.KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA AKISISITIZA JAMBO KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA LEVOLOSI NA MATAWI KILICHOFANYIKA LEO.
MUASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI .
VIONGOZI MEZA KUU WAKIFUATILIA KWA MAKINI
KATIBU WA CCM TAWI LA LEVOLOSI NDG ABUBAKAR SHARIFF AKISOMA TARIFA KWA KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA LEVOLOSI NA MATAWI LEO .
MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJA YA WAZAZI KATA YA LEVOLOSI NDG DOMINICK CHUWA AKICHANGIA MADA KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA LEVOLOSI NA MATAWI LEO .
KUSHOTO - KULIA NI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA NDG ABRAHAMAN MAPANDE,MWENYEKITI WA CCM KATA YA LEVOLOSI NDG SANGITO SUMARI ,KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA , KAIMU KATIBU WA CCM KATA NA KATIBU MWENEZI WA CCM KATA YA LEVOLOSI NDG ABUBAKAR NYANGU NA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA KATA YA LEVOLOSI KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA LEVOLOSI NA MATAWI LEO .
MWENYEKITI WA SEREKALI YA MTAA NDG AISHA PETER AKICHANGIA HOJA KATIKA CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA LEVOLOSI NA MATAWI LEO .
KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA ALIYESHIKA SHAVU AKISILIZA HOJA ZA WAJUMBE KWA MAKINI.