KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA KATIKA PICHA NA MUASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI , KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA THEMI NA MATAWI .
KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA AKIONGEA KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA THEMI NA MATAWI (KUSHOTO) NI MWENYEKITI WA CCM KATA YA THEMI NDG VICTOR MKOLWE NA KULIA KABISA NI KATIBU WA CCM KATA YA THEMI NDG ERICK.
KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM WILAYA YA ARUSHA NDG JASPER KISHUMBUA AKIFUATILIA JAMBO KWA MAKINI KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA THEMI NA MATAWI (KUSHOTO) NI MWENYEKITI WA CCM KATA YA THEMI NDG VICTOR MKOLWE NA KULIA KABISA NI KATIBU WA CCM KATA YA THEMI NDG ERICK AKISOMA TAARIFA YA KATA KWA MGENI RASMI.
BAADHI YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA THEMI NA MATAWI .
KATIBU WA CCM KATA YA THEMI NDG ERICK NA KATIBU WA FEDHA NA UCHUMI KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA LEVOLOSI NA MATAWI LEO .