Home » » CCM KATA YA ELERAI JIJINI ARUSHA WAZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI

CCM KATA YA ELERAI JIJINI ARUSHA WAZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI

Written By CCMdijitali on Sunday, September 20, 2015 | September 20, 2015

Baadhi ya wakereketwa wa CCM Kata ya Elerai wakiwa na furaha kwenye mkutano uliohudhuriwa na  wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Elerai, kwenye Viwanja vya kwa Shuma 19/09/2015.

Hivi ndivyo ilivyokuwa ,wakati Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akiwasili na kupokelewa  na baadhi ya wakereketwa wa CCM Kata ya Elerai  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Elerai, kwenye Viwanja vya kwa Shuma 19/09/2015.

Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akiinadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kumuombea kura Mgombea Urais wa CCM Ndg Makufuli na Mgombea Udiwani Kata  ya Elerai kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Elerai, kwenye Viwanja vya kwa Shuma 19/09/2015.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Elerai, kwenye Viwanja vya kwa Shuma 19/09/2015.

Baadhi ya wakereketwa wa CCM Kata ya Elerai wakiwa na furaha kwenye mkutano uliohudhuriwa na wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Elerai, kwenye Viwanja vya kwa Shuma 19/09/2015.

Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akiinadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kumuombea kura Mgombea Urais wa CCM Ndg Makufuli na Mgombea Udiwani Kata ya Elerai kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Elerai, kwenye Viwanja vya kwa Shuma 19/09/2015.
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akimnadi Mgombea Udiwani Kata ya Elerai Ndg Losyoki Laizer kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Elerai, kwenye Viwanja vya kwa Shuma 19/09/2015.

Amani ilitawala kila mahali kwenye mkutano huo na kuwafanya watoto kuwa na amani katika mkutano huo kama inavyoonekana katika picha hizi.
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akimnadi Mgombea Udiwani Kata ya Elerai Ndg Losyoki Laizer kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Elerai, kwenye Viwanja vya kwa Shuma 19/09/2015.

Hivi ndivyo ilivyokuwa ,wakati Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akiondoka kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Elerai, kwenye Viwanja vya kwa Shuma 19/09/2015.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link