Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kakonko kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea ubunge wa jimbo la Kakonko Mhandisi Christopher Chiza kitabu cha ilani ya Uchaguzi wa CCM ya 2015-2020.
Umati wa wakazi wa Nyakanazi ukimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akirejea kutoka Kigoma .
Umati wa wakazi wa Nyakanazi ukimshangilia Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati alipowasalimia wakazi hao.
Picha ya aliyekuwa Mwalimu wa darasa la kwanza aliyemfundisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli, Marehemu Cornel Pastory.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la Kwanza mwalimu Cornel Pastory
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akitoa heshima mbele ya kabiri la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza mwalimu Cornel Pastory.
Mwakilishi wa Walemavu Ndugu Amon Mpanju akihutubia wakazi wa Biharamulo kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Biharamula kwenye mkutano wa kampeni zilizofanyika uwanja wa CCM Biharamulo.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha mgombea ubunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi Ndugu Oscar Rwegasira Mkassa.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Biharamulo Magaribi na wa viti maalum mkoa wa Kagera.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Biharamulo Magaribi na wa viti maalum mkoa wa Kagera.