Home » » CCM KIMANDOLU JIJINI ARUSHA WAZINDUA RASMI KAMPENI YA UDIWANI

CCM KIMANDOLU JIJINI ARUSHA WAZINDUA RASMI KAMPENI YA UDIWANI

Written By CCMdijitali on Saturday, September 19, 2015 | September 19, 2015


Baadhi ya wakereketwa wa CCM Kata ya Kimandolu wakishindwa kuficha hisia zao  kwenye mkutano uliohudhuriwa na mamia ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona leo.
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN  akimtambulisha Mgombea Udiwani Kata ya Kimandolu Ndg Karubaga D Charles  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kimandolu Ndg Abraham kwa jina maarufu KOBRA  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .




Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala (aliyevaa miwani) akilakiwa kwa furaha na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kimandolu alipokuwa anawasili kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akilakiwa kwa furaha na vigele gele na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kimandolu alipokuwa anawasili kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .

Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akilakiwa kwa furaha na vigele gele na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kimandolu alipokuwa anawasili kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN na  Mgombea Udiwani Kata ya Kimandolu Ndg Karubaga D Charles  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .
Katibu wa CCM Kata ya Kimandolu Ndg Ngwijo akiwasalimia wananchi kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kimandolu Ndg Abraham kwa jina maarufu KOBRA akifungua mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , uliofanyika Viwanja vya Kijenge Kona .

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Ndg Brighton akieleza ubora wa CCM na Vyama vya vingine kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , uliofanyika Viwanja vya Kijenge Kona .
Baadhi ya viongozi kulia - kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kimandolu Ndg Abraham kwa jina maarufu KOBRA ,Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN,Katibu wa CCM Kata ya Kimandolu Ndg Ngwijo na Mgombea Udiwani Kata ya Kimandolu Ndg Karubaga D Charles kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .
Oyeeeeeee CCM mbele kwa mbele....... 
furaha tupu na nderemo zilitawala  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , uliofanyika Viwanja vya Kijenge Kona . 


Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akiinadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kumuombea kura Mgombea Urais wa CCM Ndg Makufuli  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .
Baadhi ya Wanachama na wananchi wakisikiliza sera za , Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN na Mgombea Udiwani Kata ya Kimandolu Ndg Karubaga D Charles kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akiinadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kumuombea kura Mgombea Urais wa CCM Ndg Makufuli kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .
Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na Wananchi wakisikiliza sera na ubora wa Wagombea wa CCM (Rais,Mbunge na Diwani) kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akiinadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi na kumuombea kura Mgombea Urais wa CCM Ndg Makufuli na Mgombea Udiwani Kata ya Kimandolu Ndg Karubaga D Charles kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kimandolu , kwenye Viwanja vya Kijenge Kona .
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Ndg Jasper Kishumbua
Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link