Home » » Makufuli aombewa kura , katika uzinduzi wa Kampeni ya CCM Kata ya Ngarenaro leo.

Makufuli aombewa kura , katika uzinduzi wa Kampeni ya CCM Kata ya Ngarenaro leo.

Written By CCMdijitali on Saturday, September 19, 2015 | September 19, 2015

Kata ya Ngarenaro waahidi kutoa kura zote za ndiyo kwa :
  • John Pombe Makufuli - Urais

  • Philemon Mollel - Ubunge

  • Fatuma Ngairo - Udiwani

Baadhi ya wakereketwa wa CCM Kata ya Ngarenaro wakiwa na furaha kwenye mkutano uliohudhuriwa na mamia ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro, kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akimtambulisha Mgombea Udiwani Kata ya Ngarenaro Bi Fatuma Ngairo  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria mkutano wenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.
Viongozi meza kuu (kushoto - kulia) Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Meru Ndg Boniface ,Mwenyekiti wa CCM Kata ya Ngarenaro, Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN na Mgombea Udiwani Kata ya Ngarenaro Bi Fatuma Ngairo (anayeshangilia) kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.
Baadhi ya Viongozi meza kuu kulia ni Katibu wa CCM Kata ya Ngarenaro na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Kata ya Ngarenaro Ndg  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.
Hata watoto nao ilikuwa ni burudani tosha.
Msoma mashairi maarufu kwa jina maarufu KIBUZO akitumbuiza  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.

Raha tupu 
CCM mbele kwa mbele
Makufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Baadhi ya Viongozi kutoka Kata ya Jirani  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.
Makufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mwanasheria maarufu Jijini Arusha Ndg Victor Njau akinadi sera za CCM  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.

Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akiteta jambo na  Mgombea Udiwani Kata ya Ngarenaro Bi Fatuma Ngairo kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.
Raha kila kona ya Mkutano......
Mwanasheria maarufu Jijini Arusha Ndg Victor Njau akinadi sera za CCM kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.



Oyeeeeeeeeeeeeee
Makufuli mbele kwa mbele..........
Wataisoma namba ehhhh
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Ndg Philemon Mollel maarufu kwa jina la MONABAN akinadi Sera za CCM  kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Ngarenaro , kwenye Viwanja vya NHC Garage leo.
Picha zote na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha- Ndg Jasper Kishumbua

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link