Home » » Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala aongea na wanachama wa CCM Kata ya Elerai.

Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala aongea na wanachama wa CCM Kata ya Elerai.

Written By CCMdijitali on Thursday, September 17, 2015 | September 17, 2015


 Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akiongea na wanachama wa CCM Kata ya Elerai.













 Meza kuu.
  Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akiongea na wanachama wa CCM Kata ya Elerai.
  Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akimtambulisha Mgombea Udiwani Kata ya Elerai wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Losyoki Laiser kwa wanachama wa CCM Kata ya Elerai.
  Mgombea Udiwani Kata ya Elerai wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Losyoki Laiser akiongea na  wanachama wa CCM Kata ya Elerai.
  Kushoto ni Diwani wa Viti Maalumu Bi Mary Kisaka akiwa na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Eleria katika kikao cha ndani cha Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Elerai leo.
 Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala na Katibu wa Kata ya Elerai Ndg Macha wakiwa meza kuu katika kikao cha ndani na wanachama wa CCM Kata ya Elerai leo.
 Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Elerai katika Mkutano wa ndani akisoma wasifu wa mgombea udiwani Kata ya Elerai 2015.
 Mgombea Udiwani Kata ya Elerai  wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Losyoki Laiser akipiga magoti kuwaomba kura wanachama wa CCM Kata ya Elerai.
 Wanachama wa CCM Kata wa Elerai wakifurahia jambo katika mkutano uliofanyika leo katika Kata ya Elerai.
 Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndg Alphonce Kinamhala akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Philemon Mollel kwa wanachama wa CCM Kata ya Elerai.
 Wanachama wakishangilia jambo kwa furaha , kuashiria kufurahishwa na jambo wakati Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Philemon Mollel akiongea na wanachama wa CCM Kata ya Elerai.
 Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Philemon Mollel akiongea na wanachama wa CCM Kata ya Elerai.
 Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg Philemon Mollel akiongea na wanachama wa CCM Kata ya Elerai.

Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link