Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Mauritius Bw. Santaram BABOO, walipokutana kwa majadiliano kuhusu ushirikiano baina ya Wizara zao, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa (wa nne
kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka nchini Mauritius, wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa na Utamaduni wa Mauritius, Dkt.Nalimi LUCKHEENARAIN, na wa tatu kushoto ni Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Mauritius Bw. Santaram BABOO.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano