Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel, ambayo ni kampuni tanzu ya Kampuni ya M ...

Read more »

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Hanoi, Vietnam kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Aprili 27 hadi 30, 2025 ...

Read more »

 NA IS-HAKA OMAR,PEMBA.   Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,ameziagiza Wizara ya Afya Zanzibar pamoja na Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar kumaliza changamo ...

Read more »

 Taasi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) na kampuni ya wanasheria NEXLAW Advocates ya Dar es salaam wamesaini rasmi makubaliano ya ushirikiano (MoU) yenye lengo la kuimarisha na kukuza ...

Read more »

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla amesema kuelekea Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mafanikio makubwa yamepatikana kwa pande zote mbili za Muungano iki ...

Read more »

 Na Mwantanga Juma MaelezoWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria Utumishi  na Utawala Bora Dkt. Harouna Ali Suleiman ameviomba vyombo vya Sheria kuhakikisha wanatenda haki ili suluhu ...

Read more »

Asema Rais Dkt. Samia ametoa shilingi bilioni 130 kwa ajili ya ukarabati madaraja mkoa wa Lindi. Awatoa hofu wakazi na watumiaji wa barabara ya Dar, Lindi. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amet ...

Read more »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini ikiwemo kuimarisha hali ya u ...

Read more »

WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA KAMPUNI YA VIETTEL

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kamp...

Latest Post

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqqarro awafunda wakina Mama Arusha

Written By CCMdijitali on Thursday, January 26, 2017 | January 26, 2017



Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqqarro akisalimiana na baadhi wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Wilayni Arusha,katika Ofisi za CCM Wilayani Arusha.


Katibu wa UWT Kata ya Kaloleni Bi Swaumu Kassim akisalimina na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.


Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Bi Mary Kisaka akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqarro katika Viwanja vya Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.


Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro katika picha na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT.


Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro katika picha na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT.


Mwenyekiti wa UWT Kata ya Sekei Bi Akira na Bi Swaumu Kassim ,Katibu wa UWT Kata ya Kaloleni katika Viwanja vya Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.


Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka ,Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari  pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Arusha,wakati akiwasalimia katika Ofisi ya UWT Wilaya ya Arusha.
Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT na Katibu wa CCM Kata ya Sekei Bi Ruth Msuya akiwa na Wajumbe wenzake (kulia0Bi Mariama ,Katibu wa UWT Sokon I.



Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro akiongea na kuwaasa kuwa makini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama na Jumuiya zake 2017 , Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Wilayani Arusha, katika Ofisi ya UWT Wilayani Arusha.


Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro katika picha na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka ,Bi Jane Nyari Katibu wa UWT Wilayani Arusha   pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT.

Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua

Vijana CCM Unga Viwandani ESSO wasaidia madawati 81 - Arusha



Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha Athmani Kihamia akiwashukuru vijana wa Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina la la Pamoja Nguvu kupitia Chama Cha Mapinduzi eneo la Unga Ltd Viwandani kwa msaada wa madawati 81 yenye thamani ya Sh milioni 6.48

Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua akiwapongeza vijana wa Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina la la Pamoja Nguvu kwa kuitikia wito wa "Hapa Kazi Tu" na kujitoa kwa ajili ya wengine wenye uhitaji wa Elimu.

Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Iddy Ntonga akiwasihi Vijana wa Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina la la Pamoja Nguvu ,kuchapa kazi na kujiwekea akiba kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi ikiwemo kujitoa kwa ajili ya kusaidia jamii inayowazunguka.

Katibu wa Shina la juhudi na Mshikamano Safiel Mgonja akisoma risala yao fupi kwa mgeni rasmi,Kihamia Athmani.

Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha Athmani Kihamia akiwashukuru vijana wa Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina  la Pamoja Nguvu kupitia Chama Cha Mapinduzi eneo la Unga Ltd Viwandani mara baada ya kupokea msaada wa madawati 81 yenye thamani ya Sh milioni 6.48 akiwaeleza kuwa yatawezesha watoto wao na wengine kukaa vizuri na kusikiliza masomo yanayofundishwa darasani.

 Viongozi meza kuu.

Madawati.






Picha ya pamoja.


Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha Athmani Kihamia (katikati) ,Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (kulia) na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Iddy Ntonga (kushoto) wakiwa wamekalia moja ya madawati yaliyokabidhiwa.


Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha Athmani Kihamia (katikati) ,Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (kulia) na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Iddy Ntonga (kushoto) wakikagua  madawati .



Sehemu ya Umati wa vijana wa CCM  Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina  la Pamoja Nguvu kupitia Chama Cha Mapinduzi eneo la Unga Ltd Viwandani wakisikiliza kwa makini mkubwa nasaha zilizokuwa zinatolewa.


















Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Iddy Ntonga akiwahamasisha kwa nyimbo Vijana wa CCM  Shina la Juhudi na Mshikamano pamoja na Shina  la Pamoja Nguvu kupitia Chama Cha Mapinduzi eneo la Unga Ltd Viwandani.


MAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARI 10,2017

Written By CCMdijitali on Monday, January 9, 2017 | January 09, 2017



1234567 Next

SPORTS

 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link