Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe Kissa Gwakisa Kasongwa |
wwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww
wwwwwwwwwwwwwwww
ANWANI ZA MAKAZI KATA YA MTWANGO
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe Kissa Gwakisa Kasongwa amefanya uzinduzi wa mfumo wa Anwani za makazi, katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. leo Tarehe 22/02/2022.
Mkuu wa Wilaya, amesisitiza ufanyaji wa zoezi hili kwa uharaka zaid na ufanisi ili kuhakikisha zoezi hili linaisha kwa wakati uliopangwa na Serikali ya Awamu ya sita.
Mhe, Kisa pia awasisitiza kuhakikisha wakusanya tarifa wanapewa elimu ya kina zaidi ili kuhakikisha kazi itafanyika kwa ufanisi mkubwa ziadi na sisi kama mkoa wa Njombe tuwewakwanza kitaifa kumaliza zoezi hili.
Shukrani za dhati zimwendee Mhe.Rais kwa kuhakikisha jambo hili ni shirikishi na linafanikiwa kwanamna moja au nyingine kuhakikisha mitaa yetu yote inapata anwuani za makazi na kutambulika kirahisi, Asema Mhe.Kissa.
Napenda kuwakumbusha kuhusu nafasi aliyotupa Mhe, Rais ya Kuzindua MWENGE WA UHURU MWAKA 2022 Mkoa wa Njombe. pale tunapo timiza Miaka Kumi ya Mkoa wa wa Njombe, pia uwepo wa SENSA YA WATU NA MAKAZI itakayo fanyika mwaka huu pia , Asema Mhe, Kissa.
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, amepata nafasi ya kuzindua Barabara ya J.NYERERE na Barabara ya Lutengano. ambazo zote ziko kwenye kata ya Mtwango. kwenye Halmashauri ya Wilaya Njombe.
#vijanawamamasamia🇹🇿
#kaziinaendelea #NjombeKaziInaendelea
#anwanizamakazi #sensa #cencus