Kikao Kazi Cha Wakuu wa Mikoa kuhusu Mfumo wa Anwani za Makazi leo ,8/2/2022 Dodoma.
Mgeni Rasmi: Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
📷Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi, Pwani Mhe. Abubakari Mussa Kunenge, Tabora Mhe. Balozi Dkt Batilda Buriani na Katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko. #Kazi iendelee. |