Written By CCMdijitali on Sunday, February 6, 2022 | February 06, 2022
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Mary Masanja akizungumza na
Waziri wa Teknolojia, Habari na Mawasiliano, Mhe.Nape Nnauye wakati wa
Maadhimisho ya miaka 45 ya Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika kitaifa
mkoani Mara ambapo Mgeni rasmi wa Maadhimisho hayo alikuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan