Home »
KITAIFA
» Mhe. Rais Samia ahutubia Mkutano wa Hadhara Wananchi wa Mkoa wa Mara
Mhe. Rais Samia ahutubia Mkutano wa Hadhara Wananchi wa Mkoa wa Mara
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Mkoa wa Mara katika Mkutano wa
hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Hospitali
ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ‘Kwangwa’ leo tarehe 06
Februari, 2022 mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi pamoja na huduma za
afya zitolewazo hospitalini hapo. |