Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh.Balozi Dkt Batilda S Burian, atembelea mradi wa ziwa Victoria tarehe 11-13/03/2022
Mkuu
wa Mkoa wa Tabora, akiwa na viongozi wa Chama na serikali alitembelea
mradi wa maji ya ziwa Victoria, lengo la ziara hiyo ni kujifunza jinsi
gani KASHWASA( Kahama shinyanga water supply and Sanitation Authority)
inavyoendesha shughuli zake. Pamoja na mambo mengine, Mh.Mkuu wa Mkoa
na viongozi aliyoambata nao walitembelea chanzo
cha maji hayo(
taping area) na baadaye kutembelea eneo la mradi na sehemu lilipo "
tank" kubwa, ambapo maji yanayofika Shinyanga na Tabora huanzia hapo.