Home » » Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza

Written By CCMdijitali on Saturday, September 17, 2022 | September 17, 2022

kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi wa Tanzania nchini humo Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Luton tarehe 17 Septemba, 2022 kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza yatakayofanyika tarehe 19 Septemba, 2022 Jijini London. 






Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link