Home » » Balozi Dkt Batilda Salha Burian, Mkuu wa Mkoa wa Tabora alifunga mafunzo ya zoezi la kituo cha uamrishaji “KAA TAYARI 2022” 

Balozi Dkt Batilda Salha Burian, Mkuu wa Mkoa wa Tabora alifunga mafunzo ya zoezi la kituo cha uamrishaji “KAA TAYARI 2022” 

Written By CCMdijitali on Saturday, November 5, 2022 | November 05, 2022




Balozi Dkt Batilda Salha Burian, Mkuu wa Mkoa wa Tabora alifunga mafunzo ya zoezi la kituo cha uamrishaji “KAA TAYARI 2022” tarehe 04 Novemba 2022.  

Katika hotuba yake, Mh. Mkuu wa Mkoa alisisitiza kuwa jukumu la Ulinzi wa Nchi ni la pamoja kwa wananchi kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama. 

Aidha amesisitiza umuhimu wa  kuendelea kulinda na kuenzi Tunu za Taifa ambazo  Rais Wetu, Mhe Samia Suluhu Hassan anatuhimiza, ikiwa ni panoja na , Lugha yetu ya Kiswahili, Muungano wetu , Umoja wa kitaifa,  Amani, Utulivu na Mshikamano, Utawala wa Sheria, haki za binadamu na usawa wa kijinsia pamoja na ulinzi wa mipaka yetu na raslimiali zetu za asili.



Share this article :
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link