MIUNDOMBINU YA ELIMU ZANZIBAR SASA YALINGANA NA MAHITAJI YA KARNE YA 21
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mazin...
Latest Post
February 03, 2017
Arusha.
Mkurugenzi wa Kituo cha mikutano cha kimataifa AICC Elishilia Kaaya akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria katika kongamano hilo na yeye kama mwenyeji wa eneo hilo akiwakaribisha katika kituo hicho.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo akizungumza na waandishi wa habari katika kongamano ambalo aliwaahidi waandishi kuwa ataliiitisha kwa ajili ya kujadili na kupata taarifa ya maendeleo katika mkoa wa Arusha pamoja na wadaumbalimbali.
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akizungumza katika kongamano hilo .
Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC) Akizungumza na katika kongamano hilo.
Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Gabriel Daqqaro akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa maendeleo katika komgamano hilo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika kongamano hilo lililoitishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha ili kuangalia na kujadili maendeleo ya mkoa kwa ujumla.
Mkurugenzi wa jiji la Arusha Athuman Kihamia akieleza baadhi ya mambo ambayo Halamashauri ya Jiji imeyafanya katika Kongomano hilo.

Wadau wa Utalii kutoka TANAPA wakiwa katika kongamano la wadau wa habari mkoa wa Arusha .
Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Arusha Ndg Shaaban Mdoe akiwa na baadhi ya wadau wa habari Mkoa wa Arusha.

Wakuu wa Idara na Wataalamu kutoka Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo ,akiwa kwenye kongamano katika kituo uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano AICC katika ukumbi wa Mbayuwayu.

Wa kwanza kushoto ni Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua,Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha,Ndg Athmani Kihamia na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo ,akiwa kwenye kongamano katika kituo uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC katika ukumbi wa Mbayuwayu.
Mgeni rasmi mkuu wa mkoa pamoja na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari waliohudhuria kongamano hilo na Waandishi wa Habari.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akiteta jambo na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqarro, kwenye kongamano lilofanyika katika kituo uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC katika ukumbi wa Mbayuwayu.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akiteta jambo na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua, kwenye kongamano lilofanyika katika kituo uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC katika ukumbi wa Mbayuwayu.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha Charles Mkumbo ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Ndg Athmani Kihamia (katikati) na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua wakiteta jambo nje ya Ukumbi wa Mkutano kaika Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha AICC.
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha ,Ndg Jasper Kishumbua 0784-463332
Kikao cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo na Wadau wa Habari .
Written By CCMdijitali on Friday, February 3, 2017 | February 03, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mashaka Mrisho Gambo amefungua Kongamana kutoa taarifa ya maendeleo katika Mkoa wa Arusha ambapo kongamano hilo limewashirikisha wadau wa habari katika kuangalia na kutafakari na kupitia pamoja na kuangalia mpango mkakati wa maendeleo katika Mkoa.
Gambo amesema kuwa kongamano hilo lina lengo la kutoa mrejesho kwa Watanzania kupitia waandishi kwa kipindi cha miezi sita ,na kuangalia mambo gani serikali ikiyapa kipaumbele itaondoa changamoto mbalimbali katika jamii kwa ujumla.
Aidha amesema kuwa utekelezaji wa shughuli za kiserikali katika mkoa wa Arusha kwa kipindi cha miezi sita hadi kufikia desemba 2016 umekuwa na mafanikio makubwa ,ambapo amesema kuwa hii ni kutokana na utamaduni wa kufanya na kutekeleza majukumu ya kazi kwa vitendo.
Amesema utekelezaji huo umechangia katika kuboreka kwa maeneo mbalimbali ya sekta muhimu katika kukuza uchumi katika mkoa hasa pato la mkoa na wananchi moja kwa moja.
“Katika kipindi hiki,miradi mingi ya maendeleo imetekelezwa na kupewa kipaumbele cha kutosha hivyo kwa namna moja kutekeleza mkakati wa Taifa wa kukuza uchumi na kuondoa umaskini (MKUKUTA II)katika mkoa na taifa kwa ujumla”alisema Gambo.
Amesema kuwa Mkoa umesimamia utekelezwaji wa shughuli za serikali na kushuhudia mafanikio katika sekta za kilimo,afya,maji,barabara,mofugo,maliasili na nyinginezo kama takwimu zilivyowasilishwa .
Amesema kuwa serikali imejipanga kuhangaika na wale wote ambao wanachochea migogoro kwa wananchi na kurudisha nyuma maendeleo ya wananchi hatutawafumbia macho.
Kwa upande wamafanikio utekelezaji wa mkoa kuanzia mwaka 2005 mkoa ulikuwa na shilingi 723,809 milioni kwa mwaka huo mkoa ulikuwa wa (9) katika kuchangia patao la Taifa,ambapo pato la mkazi lilikadiriwa kuwa shilingi 506,902 kwa mwaka sawa na shilingi 1,389 kwa siku.
Kwa mwaka 2010 pato la Mkoa wa Arusha lilikuwa shilingi 2,136,514 milioni kwa kuchangia pato la taifa Arusha ilikuwa ya 7.mwaka huo pato la mkazi wa Arusha lilikuwa shilingi 1,283,361 kwa mwaka sawa na shilingi 3,516 kwa siku.
Hadi mwaka 2015 pato la mkoa linakadiriwa kuwa shilingi 4,271,447milioni.
kwa takwimu hizo pato la mkazi wa Arusha lilikuwashilingi 2,322,031 milioni kwa mwaka ni sawa na shilingi 6,361 kwa siku.
Mkurugenzi wa Kituo cha mikutano cha kimataifa AICC Elishilia Kaaya akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria katika kongamano hilo na yeye kama mwenyeji wa eneo hilo akiwakaribisha katika kituo hicho.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo akizungumza na waandishi wa habari katika kongamano ambalo aliwaahidi waandishi kuwa ataliiitisha kwa ajili ya kujadili na kupata taarifa ya maendeleo katika mkoa wa Arusha pamoja na wadaumbalimbali.
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega akizungumza katika kongamano hilo .
Mwenyekiti wa Arusha Press Club (APC) Akizungumza na katika kongamano hilo.
Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Gabriel Daqqaro akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa maendeleo katika komgamano hilo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika kongamano hilo lililoitishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha ili kuangalia na kujadili maendeleo ya mkoa kwa ujumla.
Mkurugenzi wa jiji la Arusha Athuman Kihamia akieleza baadhi ya mambo ambayo Halamashauri ya Jiji imeyafanya katika Kongomano hilo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika kongamano hilo lililoitishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha ili kuangalia na kujadili maendeleo ya mkoa kwa ujumla.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika kongamano hilo lililoitishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha ili kuangalia na kujadili maendeleo ya mkoa kwa ujumla.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika kongamano hilo lililoitishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha ili kuangalia na kujadili maendeleo ya mkoa kwa ujumla.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika kongamano hilo lililoitishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha ili kuangalia na kujadili maendeleo ya mkoa kwa ujumla.
Wadau wa Utalii kutoka TANAPA wakiwa katika kongamano la wadau wa habari mkoa wa Arusha .
Katibu wa Siasa na Uenezi Mkoa wa Arusha Ndg Shaaban Mdoe akiwa na baadhi ya wadau wa habari Mkoa wa Arusha.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika kongamano hilo lililoitishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha ili kuangalia na kujadili maendeleo ya mkoa kwa ujumla.
Wakuu wa Idara na Wataalamu kutoka Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo ,akiwa kwenye kongamano katika kituo uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano AICC katika ukumbi wa Mbayuwayu.
Wadau wa Utalii kutoka TANAPA wakiwa katika kongamano la wadau wa habari mkoa wa Arusha .
Wa kwanza kushoto ni Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua,Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha,Ndg Athmani Kihamia na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo ,akiwa kwenye kongamano katika kituo uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC katika ukumbi wa Mbayuwayu.
Mgeni rasmi mkuu wa mkoa pamoja na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari waliohudhuria kongamano hilo na Waandishi wa Habari.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akiteta jambo na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqarro, kwenye kongamano lilofanyika katika kituo uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC katika ukumbi wa Mbayuwayu.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akiteta jambo na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqarro, kwenye kongamano lilofanyika katika kituo uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC katika ukumbi wa Mbayuwayu.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akiteta jambo na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua, kwenye kongamano lilofanyika katika kituo uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC katika ukumbi wa Mbayuwayu.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha Charles Mkumbo ,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Ndg Athmani Kihamia (katikati) na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua wakiteta jambo nje ya Ukumbi wa Mkutano kaika Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha AICC.
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha ,Ndg Jasper Kishumbua 0784-463332
Labels:
ARUSHA
February 02, 2017
Ligi ya timu za Vijana kwa ajili ya mashindano ya Neema Youth Cup kundi A,Jijini Arusha
Written By CCMdijitali on Thursday, February 2, 2017 | February 02, 2017
Vijana katika kuendelea kuadhimisha sherehe za kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha.
Golikipa wa timu ya Veterani ya Unga Ltd akiruka kuwania mpira uliopigwa kutoka kwa mchezaji wa timu ya Mairiva kutoka Sakina.
Wachezaji wa wa Timu ya Veteran kutoka Unga Ltd wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa CCM wa Wilaya ya Arusha ambao wanaratibu michezo hiyo Katibu wa UVCCM Wilaya Ndg Iddy Ntonga (mwenye tshirt ya bluu),Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Mwalimu Mavallah Mohamed (wa pili kutoka kulia) na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) katika viwanja vya Shule Msingi Ngarenaro.
Vijana wakitoana jasho kama inavyonekana katika picha Mairiva v/s Veteran.
Wachezaji wa wa Timu ya Mairiva kutoka Kata ya Sakina wakipata mawaidha kutoka kwa kocha na viongozi wa CCM wa Wilaya ya Arusha ambao wanaratibu michezo hiyo Katibu wa UVCCM Wilaya Ndg Iddy Ntonga (mwenye tshirt ya bluu),Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Mwalimu Mavallah Mohamed na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) katika viwanja vya Shule Msingi Ngarenaro.
Umati wa wapenzi na Mashabiki wa mpira wa miguu wakifuatilia mechi hiyo.
Namba 13 mgongoni ni Katibu wa UVCCM Wilaya Ndg Iddy Ntonga (mwenye tshirt ya bluu),kushoto kwake ni Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Arusha Mwalimu Mavallah Mohamed na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua (hayupo pichani) katika viwanja vya Shule Msingi Ngarenaro.
Vuta nikuvute kama ilivyo ada ya kutaka ushindi.
Mwamuzi wa mchezo huo akionekana kuudhibiti mchezo huo ili kuleta burudani kwa wachezaji na mashabiki.
Hapa ilikuwa ni mshikemshike katika lango la timu ya Mairiva huku mchezaji wa timu ya Veterani aliyenyanyua mikono ,baada kosa kosa goli la wazi.
Golikipa wa timu ya Mairiva katika hekaheka ya kupangua mipira iliyokuwa inaelekezwa langoni kwake.
Mmoja wa mchezaji wa timu ya Veterani akionyesha umahiri wake katika kuutuliza mpira.
Mchezaji wa timu ya Mairiva akionyesha umahiri wake katika kuutuliza mpira.
Vuta nikuvute.
Mlima Meru kama unavyoonekana kutoka katika Uwanja wa Shule ya Msingi Ngarenaro.
Vijana wakipeana mawaidha baada purukushani katika mechi hiyo.

Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua - 0784 463332

SPORTS
January 26, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqqarro akisalimiana na baadhi wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Wilayni Arusha,katika Ofisi za CCM Wilayani Arusha.
Katibu wa UWT Kata ya Kaloleni Bi Swaumu Kassim akisalimina na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Bi Mary Kisaka akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqarro katika Viwanja vya Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro katika picha na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soileli ,Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT.
Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro katika picha na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT.
Mwenyekiti wa UWT Kata ya Sekei Bi Akira na Bi Swaumu Kassim ,Katibu wa UWT Kata ya Kaloleni katika Viwanja vya Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha.
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka ,Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Arusha,wakati akiwasalimia katika Ofisi ya UWT Wilaya ya Arusha.
Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT na Katibu wa CCM Kata ya Sekei Bi Ruth Msuya akiwa na Wajumbe wenzake (kulia0Bi Mariama ,Katibu wa UWT Sokon I.
Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro akiongea na kuwaasa kuwa makini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama na Jumuiya zake 2017 , Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Wilayani Arusha, katika Ofisi ya UWT Wilayani Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Ndg Gabrielly Daqarro katika picha na Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Arusha,Bi Mary Kisaka ,Bi Jane Nyari Katibu wa UWT Wilayani Arusha pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT.
Picha na Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha - Jasper Kishumbua
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Gabrielly Daqqarro awafunda wakina Mama Arusha
Written By CCMdijitali on Thursday, January 26, 2017 | January 26, 2017