MIUNDOMBINU YA ELIMU ZANZIBAR SASA YALINGANA NA MAHITAJI YA KARNE YA 21
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mazin...
RAIS SAMIA ATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI MEATU
Written By CCMdijitali on Tuesday, June 17, 2025 | June 17, 2025
WADAU SEKTA YA MILKI WATAKIWA KUWA NA UMOJA
Na Munir Shemweta, WANMM MWANZA
Wadau wa sekta ya milki nchini wametakiwa kuendelea kuwa na umoja ili kuhakikisha sekta ya milki inakuwa.
Hayo yameelezwa tarehe 17 Juni 2025 na Mkurugenzi wa Kitengo cha Milki Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Upendo Matotola wakati wa kikao cha wadau wa sekta ya milki kilichofanyika mkoani Mwanza.
Kikao hicho ni muendelezo wa mijadala mbalimbali kati ya kitengo cha Milki Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wadau wa Sekta ya Milki kwa lengo la kujenga ufahamu na kupata maoni kuhusiana na sekta ya milki nchini.
Tayari kitengo hicho kimefanya vikao vya mijadala katika majiji ya Dar es Salaam, Arusha na Dodoma.
" Ni lazima tuwe wamoja na kuhakikisha sekta yetu ya milki inakuwa sambamba na kuwa na sura nzuri" amesema
Kwa mujibu wa Dkt Matotola, wananchi wakishaiamini sekta ya milki kazi itakuwa rahisi ikiwemo upatikanaji kazi nyingi kwa kuwa wananchi hawatakuwa na haja ya kuhangaika kutokana na uwepo wa watu wanaowaamini.
" Kwa sababu mtu hana sababu ya kuhangaika kutafuta nyumba au kiwanja maana kuna watu wanawaamini na serikali inawaamini pia hivyo tunaweza kufanya kazi vizuri". Ameeleza
Mkurugenzi huyo wa Kitengo cha Milki ameweka wazi kuwa, kikubwa serikali inachotaka ni kujua kutoka kwa wadau zile changamoto wanazozipata katika uendeshaji na kile wanachotegemea kutoka kwa serikali ili kutengeneza mazingira bora ya kuwafanya wadau kufanya kazi vizuri.
Kwa upande wake Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Mwanza Wilson Luge amesema, serikali imeona ipo haja ya kuzungumza na wadau wa sekta ya milki ili kuwa na uelewa wa pamoja.
" Tutembee pamoja, sisi tuna malengo ya kufikia hatua fulani lakini na ninyi mna malengo fulani hivyo malengo yetu yaende sambamba na malengo yenu" amesema Luge.
Katika kikao hicho cha wadau wa sekta ya milki washiriki walipata uelewa wa majukumu ya kitengo cha milki, mfumo wa usajili na faida zake kwa mawakala, utakatishaji fedha katika sekta na wajibu wa mawakala katika kupambana na utakatishaji pamoja na mwongozo wa usajili wa mawakala.
| Washiriki wakiwa katika kikao cha wadau wa sekta ya milki kilichofanyika jijini Mwanza tarehe 17 Juni 2025. |
| Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Mwanza Wilson Luge akizungumza kwenye kikao cha wadau wa sekta ya milki kilichofanyika jijini Mwanza tarehe 17 Juni 2025. |
RAIS MHE. DKT. SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA KUCHAKATA PAMBA CHA BIOSUSTAIN TANZANIA LIMITED MEATU
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited Meatu mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited Meatu mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuhusu Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited Meatu mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.
![]() |
Mandhari ya kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited kilichopo Meatu mkoani Simiyu ambacho kimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 17 Juni, 2025.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu yaCCM Taifa Mhe.Hemed aendelea na ziara yake yakuimarisha Chama (CCM)
Written By CCMdijitali on Monday, June 16, 2025 | June 16, 2025
RAIS MHE. DKT. SAMIA AZINDUA MPANGO WA MIAKA MITANO WA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya heshima na shukrani kutoka kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji mara baada ya kuzindua Mpango wa Miaka Mitano wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika viwanja vya Nanenane Bariadi Mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA SIMIYU
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025. |
![]() |
Muonekano wa Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu, Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025.
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025. |


.jpg)




.jpg)
.jpeg)


.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)








.jpeg)
.jpeg)


.jpeg)

.jpeg)


.jpeg)


.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)



.jpeg)


.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)



