Comoro kushirikiana na Tanzania katika sekta za kimkakati asema Rais Azali Anena

  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Visiwa vya Comoro Mheshimiwa Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazumgumzo na Rai...

Latest Post

Viongozi wa Chama toka Wilaya ya Rungwe watinga Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo.

Written By CCMdijitali on Thursday, May 28, 2015 | May 28, 2015

Kaimu  Afisa wa Utumishi  Makao Makuu CCM Dodoma Ndg Kanuth B.Ndaghine katika  Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilayani hapo,na waliosimama ni Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari , Katibu wa CCM Wilaya ya Rungwe Bi Mariam H. Yussuf na Katibu wa Sisasa na Uenezi CCM  Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua, alipotembelea Ofisi za Wilaya ya Arusha leo.
 Kaimu  Afisa wa Utumishi  Makao Makuu CCM Dodoma Ndg Kanuth B.Ndaghine akisaini kitabu cha Chama Wilayani katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilayani hapo,na  Katibu wa CCM Wilaya ya Rungwe Bi Mariam H. Yussuf  walipotembelea Ofisi za Wilaya leo.
 Kaimu  Afisa wa Utumishi  Makao Makuu CCM Dodoma Ndg Kanuth B.Ndaghine akisaini kitabu cha Chama Wilayani katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilayani hapo,na waliosimama ni Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari , Katibu wa CCM Wilaya ya Rungwe Bi Mariam H. Yussuf na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Jamal Kihmji, alipotembelea Ofisi za Wilaya leo.
Kaimu  Afisa wa Utumishi  Makao Makuu CCM Dodoma Ndg Kanuth B.Ndaghine akisaini kitabu cha Chama Wilayani katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilayani hapo,na waliosimama ni Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari , Katibu wa CCM Wilaya ya Rungwe Bi Mariam H. Yussuf na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Jamal Kihmji, alipotembelea Ofisi za Wilaya leo. 
 Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari , Katibu wa CCM Wilaya ya Rungwe Bi Mariam H. Yussuf na Katibu wa Sisasa na Uenezi CCM  Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua, alipotembelea Ofisi za Wilaya ya Arusha leo. 
Kaimu  Afisa wa Utumishi  Makao Makuu CCM Dodoma Ndg Kanuth B.Ndaghine akisaini kitabu cha Chama Wilayani katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilayani hapo, alipotembelea Ofisi za Wilaya leo.
 Katibu wa CCM Wilaya ya Rungwe Bi Mariam H. Yussuf akisaini kitabu cha Chama Wilayani katika Ofisi ya Katibu wa Siasa na uenezi CCM Wilayani hapo, alipotembelea Ofisi za Wilaya leo.
Kaimu  Afisa wa Utumishi  Makao Makuu CCM Dodoma Ndg Kanuth B.Ndaghine akiwa katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo. 
 Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari (katikati), Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Meru Ndg Ladamuni E. Mollel  (aliyevaa kofia) akisaini kitabu cha wageni akishuhudiwa na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Jamal Kihmji, katika Ofisi za Wilaya ya Arusha.
 Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari (katikati), Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Meru Ndg Ladamuni E. Mollel  (aliyevaa kofia) na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Jamal Kihmji, katika Ofisi za Wilaya ya Arusha.
 Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Meru Ndg Ladamuni E. Mollel, alipotembelea Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo. 
Kaimu  Afisa wa Utumishi  Makao Makuu CCM Dodoma Ndg Kanuth B.Ndaghine akiwa katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo. 
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rungwe Ndg Ally M. Mwakilinde akiteta jambo na Katibu wa CCM Wilaya ya Rungwe Bi Mariam H. Yussuf na kulia kabisa ni Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Meru Ndg Ladamuni E. Mollel katika Ofisi  za CCM Wilayani Arusha leo
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rungwe Ndg Ally M. Mwakilinde akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Jumuiya za CCM Wilayani Arusha leo.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rungwe Ndg Ally M. Mwakilinde akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Jumuiya za CCM Wilayani Arusha leo, akishuhudiwa na Katibu wa UWT Wilaya ya Arusha Bi Jane Nyari (kushoto), Katibu wa WAZAZI Wilaya ya Meru Ndg Ladamuni E. Mollel  aliyevaa kofia) na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arusha Ndg Jamal Kihmji.

FIFA in crisis...

Written By CCMdijitali on Wednesday, May 27, 2015 | May 27, 2015

..... as SEVEN executives including vice president are held in Zurich hotel raid over £100m bribes claim

  • Two separate investigations have been launched in FIFA corruption  
  • Seven football officials were arrested on Wednesday by Swiss police 
  • FIFA vice president Jeffrey Webb among those detained in 6am raid 
  • American case involves bribes 'totaling more than $150m (£97m)' linked to deals in North and Latin American dating back to the 1990s  
  • Criminal proceedings also launched into award of 2018 & 2022 World Cups  
  • Electronic data and documents also seized in raid on FIFA headquarters   
  • FIFA confirm Friday's presidential election will go ahead as planned 
  • Sepp Blatter is expected to win a fifth term in office    
  • His election opponent Prince Ali: 'This is a sad day for football'


Mobile phone footage shows one of the FIFA members led out of the Baur au Lac hotel in the dawn raid (Police officers used white sheets to obscure the identities of the arrested FIFA members )

Electronic data was seized in a raid on FIFA's headquarters and bank documents have also been obtained from financial institutions and some accounts frozen as part of the inquiry.

FIFA spokesman Walter de Gregorio said this week's congress and Friday's presidential election will continue as planned. President Sepp Blatter is expected to win a fifth term in office.

De Gregorio said Blatter, who was not detained, is 'relaxed' about the situation and claimed this was a 'good day' for world's football's governing body.

Two separate proceedings are now underway, plunging FIFA into chaos.

The Office of the Attorney General of Switzerland (OAS) is conducting the probe regarding the award of the 2018 and 2022 World Cups.

The second criminal investigation is being led by the US Attorney's Office for the Eastern District of New York concerning the allocation of media, marketing and sponsoring rights for football tournaments staged in North and Latin America dating back to the 1990s.

The seven arrested in the dawn raid at the five-star Baur au Lac hotel in Zurich at the request of the US were:
  • Jeffrey Webb - the FIFA vice-president and executive committee member from the Cayman Islands
  • Eugenio Figueredo - FIFA vice-president and executive committee member from Uruguay
  • Eduardo Li - current FIFA executive committee member-elect and Costa Rica Football Association president
  • Julio Rocha - FIFA development officer and president of the Nicaragua FA
  • Costas Takkas - attache to the CONCACAF president
  • Rafael Esquivel - CONMEBOL executive committee member and Venezuela FA president
  • Jose Maria Marin - former president of the Brazilian FA

 FIFA vice-president Jeffrey Webb is among six officials known to be arrested in a dawn raid in Zurich
 Jeffrey Webb shakes hands with FIFA President Sepp Blatter at the CONCACAF confederation meeting

The two indicted defendants who were not among the seven arrested in Zurich this morning are former FIFA vice president and executive committee member and CONCACAF president Jack Warner and former FIFA executive committee member and CONMEBOL president Nicolas Leoz.

Remarkably, FIFA have not yet said any of these figures will be suspended.

The convicted defendant are Chuck Blazer, former member of the FIFA executive committee, Jose Hawilla (owner and founder of Brazilian sports marketing conglomerate the Traffic Group) and Jack Warner's sons Daryll Warner and Daryan Warner. The convicted corporations are Traffic Sports International Inc and Traffic Sports USA Inc.

FBI director James B Comey said: 'As charged in the indictment, the defendants fostered a culture of corruption and greed that created an uneven playing field for the biggest sport in the world.

'Undisclosed and illegal payments, kickbacks and bribes became a way of doing business at FIFA.

'When leaders in an organisation resort to cheating the very members that they were supposed to represent, they must be held accountable.

'Whether you call it soccer or football, the fans, players and sponsors around the world who love this game should not have to worry about officials corrupting their sport.

'This case isn't about soccer, it is about fairness and following the law.'

 The Baur au Lac hotel in Zurich where a number of FIFA officials were arrested on Wednesday
 The scene inside the Baur au Lac hotel in Zurich on Wednesday morning following the 6am police raids


PROFILES OF THE FIFA OFFICIALS INDICTED
Jeffrey Webb - FIFA vice-president and president of CONCACAF. The 50-year-old was born and lives in the Cayman Islands and is the Cayman Islands Football Association president.
Eugenio Figueredo - Former footballer and now Uruguayan FA executive. A former president of CONMEBOL, the South American football federation.
Jack Warner - Former FIFA vice-president and president of CONCACAF from Trinidad and Tobago until he resigned from all his positions in international football in 2011.
Eduardo Li - president of the Costa Rican Football Association.
Julio Rocha - president of the Nicaraguan Football Federation.
Costas Takkas - a former general secretary of the Cayman Islands Football Association.
Rafael Esquivel - president of the Venezuelan Football Federation since 1988.
Jose Maria Marin - vice-president of the Brazil Football Federation and its former president. The CBF were the football organisation who handed out controversial £16,000 Parmigiani watches at their congress in Sao Paulo a year ago, when Marin was the overlord of the association.
Nicolas Leoz - Former CONMEBOL president between 1986 and 2013. He allegedly wanted the FA Cup named after him in exchange for a vote for England in their attempts to host the 2018 World Cup.


Much of the evidence has come from Blazer, a former member of the FIFA executive committee who turned 'supergrass' for the FBI and has repaid $1m.

US Attorney General Lynch added that the corruption 'spans at least two generations of soccer officials who, as alleged, have abused their positions of trust to acquire millions of dollars in bribes and kickbacks'.

A simplified procedure will apply for those who agree to be immediately extradited and this will be approved by US authorities straight away.

If one of those arrested opposes their extradition, the US will submit a formal request for their extradition.

The FBI raiding party arrived at the hotel at 6am and the last arrest was of Li, who was led from the building with a sheet over his head at 6.45am.

FIFA President Blatter was scheduled to make an appearance at the Confederation of African Football (CAF) congress at 10.30am on Wednesday morning but did not show up.

His next scheduled appearance is at a FIFA medical conference at 9.15am on Thursday.


 Camera crews gathered outside the five-star Baur au Lac hotel following the raids on Wednesday morning
 The detained FIFA officials were led away from the luxury hotel in Zurich just after dawn
 Former FIFA vice-president Jack Warner is one of nine football officials indicted over corruption allegations
 FIFA president Sepp Blatter faces a presidential challenge from Jordan's Prince Ali Bin Al Hussein


PROFILES OF THE OTHER FIGURES ARRESTED 
Alejandro Burzaco - chief executive of an Argentine sports communications firm 'Torneos y Competencias'. TyC purchased the broadcasting rights for the 2006 World Cup in Germany.
Aaron Davidson - chief executive of the North American Soccer League, a professional league in the US and Canada.
Hugo Jinkis - President of Full Play Group, a sports marketing company in Argentina formed in 1998.
Mariano Jinkis - Vice-president of Full Play Group, a sports marketing company in Argentina formed in 1998.
Jose Margulies - charged as an intermediary who facilitated illegal payments.

In a hastily convened press conference FIFA's headquarters in Zurich, spokesman De Gregorio said: 'FIFA initiated this process. The timing may not be the best, but FIFA welcomes this process and co-operates fully with the authorities.

'There are two separate investigations. It was a question of co-ordination. They had to co-ordinate and be as efficient as possible. The fact it happened two days before the congress, everyone is here and we have good international coverage.'

De Gregorio then claimed that FIFA is the 'damaged party' in this process. He said: 'This for FIFA is good. It's not good in terms of image or reputation., but in terms of cleaning up.

'For us once again, it is not a nice day and we have other things to do as well but in other words it is also a good day. The process goes on and we are looking forward to have the results.'  

 FIFA spokesman Walter de Gregorio claimed the governing body welcomed the investigations

The FBI will hold a press conference at 3.30pm British time.

FIFA Presidential candidate Prince Ali bin al-Hussein, reacting to the news, said: 'Today is a sad day for football. Clearly this is a developing story, the details of which are still emerging. It would not be appropriate to comment further at this time.'

In a statement, Football Association chairman Greg Dyke said: 'We should stress this morning's developments are very serious for FIFA and its current leadership.

'As one of the associations who nominated Prince Ali it will not surprise you to learn that if the election for president goes ahead The FA will be voting for him. However, there must be a question mark over whether the election should take place in these circumstances.

'Clearly things are changing very quickly and our delegation to the FIFA congress in Zurich, which I am leading, will discuss the position and what we should do about it with our colleagues in UEFA when we meet tomorrow morning.'

It is believed UEFA's executive committee will hold an informal meeting to discuss the developments ahead of Wednesday evening's Europa League final in Warsaw.

Russia's sports minister Vitaly Mutko claimed the arrests were not linked to his country's successful bid to stage the 2018 World Cup.

Damian Collins, the British MP who founded the reform group New FIFA Now, said the news was hugely significant for FIFA and could have a massive impact on the governing body.

'The chickens are finally coming home to roost and this sounds like a hugely significant development for FIFA,' he told Reuters.

'It proves that Sepp Blatter's promises over the last few years to look into corruption at FIFA have not materialised and because he has totally failed to do this, it has been left to an outside law enforcement agency to do the job and take action.'

 Uruguayan Eugenio Figueredo was led from the Zurich hotel in the dawn raid
Costa Rica Football Association president Eduardo Li has also been arrested

The Swiss Federal Office of Justice said in a statement that US authorities suspect the six officials of having received or paid bribes totalling millions and that the crimes were agreed to and prepared in the US, and payments carried out via US banks.

The FOJ said the US Attorney's Office for the Eastern District of New York is investigating the individuals on suspicion of the acceptance of bribes and kick-backs between the early 1990s and now. 

'The US authorities suspect them of having received bribes totalling in the USD millions,' said the statement. 

'The arrest warrants were issued further to a request by the US authorities. The US Attorney's Office for the Eastern District of New York is investigating these individuals on suspicion of the acceptance of bribes and kick-backs between the early 1990s and the present day.

'The bribery suspects -- representatives of sports media and sports promotion firms -- are alleged to have been involved in schemes to make payments to the soccer officials -- delegates of FIFA and other functionaries of FIFA sub-organizations -- totaling more than $100 million.

'In return, it is believed that they received media, marketing, and sponsorship rights in connection with soccer tournaments in Latin America.

'According to the US request, these crimes were agreed and prepared in the US, and payments were carried out via US banks. 

The statement said the detainees would be questioned by Zurich police regarded the US request.

'A simplified procedure will apply for wanted persons who agree to their immediate extradition. The Federal Office of Justice (FOJ) can immediately approve their extradition to the US and order its execution.

'However, if a wanted person opposes their extradition, the FOJ will invite the US to submit a formal extradition request within the deadline of 40 days specified in the bilateral extradition treaty.'

LUXURY AND LOBBYINGThe five-star Baur au Lac hotel, which has been a landmark of Zurich for 170 years, is a popular place for FIFA officials to stay.
Set in its own park, the luxury hotel boasts view over the Zurichsee and the Alps. It is a few minutes' walk from the city centre and shopping areas.
It was the stage for intense lobbying for votes ahead of the 2018 and 2022 World Cup hosting decisions in December 2010.



RATIBA YA UCHAGUZI WA DOLA KWA WANACCM

Written By CCMdijitali on Tuesday, May 26, 2015 | May 26, 2015

RATIBA YA UCHAGUZI WA DOLA KWA WANACCM


Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete ahutubia wakati Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.

Wajumbe wakishangilia   Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Hamis Ngomero kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Katibu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.
Kila mwanafunzi alipenda apate ukumbushokwa kupiga picha na na Katibu wa NEC Npe Nnauye   Wajumbe kutoka mikoa mbali mbali wakiimba na kucheza nyimbo za hamasa.
 Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini wakifurahi 
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza meza kuu kuimba wakati wa kufungua kwa mkutano wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.   
 Kikundi cha burudani kikitumbuiza.   
 Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini wakifurahi 
 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wajumbe kwenye mkutano huo   Wajumbe wakisikiliza   Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.
 Wajumbe wamsikiliza   Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete  wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania. kwenye Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.   
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.

Video ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete akihutubia  Mkutano Mkuu wa Shirikisho  Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania.

VIDEO YA SHAMRA SHAMRA YA WAJUMBE WA SHIRIKISHO


MUENDELEZO WA MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT 2015

Written By CCMdijitali on Monday, May 25, 2015 | May 25, 2015

KWENDA KAMBI ZA ;

  • Mgambo - Tanga
  • Maramba - Tanga
  • Mlale - Songea
  • Mafinga - Iringa 


Tanzania National Service 15c 1965Postal Service, Mail Documents, Service 15C, National Service

"Bofya link zifutazo kuona majina"

 


 Vijana wa JKT wakiimba na kucheza wakati wa makaribisho ya Makamu wa Rais, alipokuwa akiwasili Kijiji cha Rungemba kuzindua Kituo cha afya .
 Vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika Kikosi cha Ruvu, Kibaha, mkoani Pwani
Vijana wa JKT wakiimba na kucheza .

Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa Julai 10, 1963 na serikali kwa lengo la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza kujitokeza katika jamii baada ya uhuru.

YAFUATAYO YAZINGATIWE

1. VIJANA WANAOTAKIWA KUJIUNGA WAWE RAIA WA TANZANIA

2. WARIPOTI WAKIWA NA VYETI HALISI VYA KUZALIWA NA KUMALIZA KIDATO CHA SITA (LEAVING CERTIFICATE).

3. VIJANA WENYE ULEMAVU UNAOONEKANA WARIPOTI KWENYE KIKOSI CHA RUVU.

4. WALE WENYE MATATIZO AMBAYO YATAPELEKEA KUTOKUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA SASA WAANDIKE BARUA YA MAOMBI YA KUAHIRISHA MAFUNZO KWA MKUU WA JKT WAKIAMBATISHA VIELELEZO VYA TATIZO ALILONALO. MWAWASILIANO YOTE YAFANYIKE KUTUMIA ANUANI IFUATAYO.



MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA
S.L.P 1694

DAR ES SALAAM.


MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT 2015

Written By CCMdijitali on Sunday, May 24, 2015 | May 24, 2015

KWENDA KAMBI ZA ;

  • Makutopora - Dodoma
  • Mtabila -kigoma
  • Ruvu - JKT Pwani
  • Kanembwa - Kigoma
  • Rwamkoma - Musoma
  • Burombora - Kigoma
  • Msange - Tabora

"Bofya link zifutazo kuona majina"

 

 

 

 

 

 


Kambi zifutazo hatukuweza kupata majina, mara tupatapo tutawarushia. 

  • Mgambo - Tanga,
  • Maramba - Tanga,
  • Mlale - Songea, 
  • Mafinga - Iringa


YAFUATAYO YAZINGATIWE


  1. 1. VIJANA WANAOTAKIWA KUJIUNGA WAWE RAIA WA TANZANIA



  1. 2. WARIPOTI WAKIWA NA VYETI HALISI VYA KUZALIWA NA KUMALIZA KIDATO CHA SITA (LEAVING CERTIFICATE).



  1. 3. VIJANA WENYE ULEMAVU UNAOONEKANA WARIPOTI KWENYE KIKOSI CHA RUVU.



  1. 4. WALE WENYE MATATIZO AMBAYO YATAPELEKEA KUTOKUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA SASA WAANDIKE BARUA YA MAOMBI YA KUAHIRISHA MAFUNZO KWA MKUU WA JKT WAKIAMBATISHA VIELELEZO VYA TATIZO ALILONALO. MWAWASILIANO YOTE YAFANYIKE KUTUMIA ANUANI IFUATAYO.

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA
S.L.P 1694
DAR ES SALAAM.

Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa Julai 10, 1963 na serikali kwa lengo la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza kujitokeza katika jamii baada ya uhuru.

Baadhi ya sababu za kuanzishwa kwa JKT ni:

Kubadili fikra za vijana wa nchi hii kutoka ile hali ya ukoloni kutegemea nchi nyingine kuleta maendeleo.

Kukusanya nguvu za vijana wote wa nchi hii na kuzielekeza kwa umoja wao kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya taifa.

Kuwafunza vijana kujenga mshikamano na umoja wa kitaifa, ili kulinda uhuru wa Taifa lao.

Jeshi la Kujenga Taifa linaunganisha vijana bila kujali itikadi zao, dini, elimu, jinsia na mali ili kuwalea kuwa wazalendo kwa taifa lao na kupenda kuitumikia nchi yao.

Pamoja na dhana ya kufunzwa uzalendo, pia stadi mbalimbali za kazi hufundishwa kwa vijana hao ili waweze kujiajiri, pindi wamalizapo mkataba yao ya kujitolea kwa miaka miwili.

Serikali ilirejesha mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wa kujitolea mwaka 2001, baada ya kusitishwa mwaka 1994.

Masharti ya Kujiunga na JKT kwa vijana wa Kujitolea

Kijana kabla ya kujiunga na JKT hutakiwa kuyajua masharti na kuzifahamu taratibu za kujiunga na kuelewa kuwa JKT halitoi ajira.

Moja ya kipengele cha masharti ya kujiunga na JKT kinasema kuwa ‘Kwa kipindi chote nitakachokua ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa nitakuwa nafanya mafunzo ya kijeshi na ya stadi za kazi na maisha, na baada ya mkataba nitarejea nyumbani. Hivyo sitalidai Jeshi la Kujenga Taifa ajira, wala kulitaka linitafutie ajira/kazi’.

Kipengele hiki kinaainisha masharti ya makubaliano kati ya Jeshi la Kujenga Taifa na kijana kabla ya kujiunga na kupatiwa mafunzo ya awali ya kijeshi.

Aidha, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine mara kadhaa wamekuwa wakisisitiza kuwa, JKT halitoi ajira.

Lakini hivi karibuni wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge mwaka huu, umezuka mtindo wa makundi ya vijana waliopitia JKT katika Operesheni mbalimbali kuomba kuandamana kwenda Ikulu kudai ajira.

Madai yanayopingana na dhana ya JKT na kauli ya Mhe. Rais kuwa Jeshi la Kujenga Taifa haliajiri, bali vijana hujiunga kwa hiari kwa kujitolea na baada ya mkataba wa miaka miwili wanatakiwa kurejea walikotoka.

Aidha, Mhe. Rais Kikwete, amewahi kutoa agizo kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, taasisi za Serikali na kuziomba zile zisizoza kiserikali kutoa ajira kwa vijana waliopata mafunzo ya JKT kulingana na sifa za kijana na nafasi zilizopo.

Takwimu zinaonesha kuwa tangu kurejeshwa kwa mafunzo ya JKT mwaka 2001 hadi mwaka jana, jumla ya vijana 104,594 wamejiunga na JKT wakiwemo wavulana 76,832 na wasichana 27,762.

Katika kipindi hicho, jumla ya operesheni 13 katika mafunzo ya JKT zimefanyika, Operesheni hizo ni pamoja na Operesheni Mkapa mwaka 2001, Miaka 40 ya JKT mwaka 2002, Utandawazi mwaka 2004 na Operesheni Jiajiri mwaka 2005.

Zingine ni pamoja na Kasi Mpya mwaka 2006, Maisha Bora mwaka 2007, Uadilifu mwaka 2008, Kilimo Kwanza mwaka 2009 na Operesheni Uzalendo mwaka (2010), Miaka 50 ya Uhuru (2011), Sensa mwaka 2012, Miaka 50 ya JKT (2013) na Miaka 50 ya Muungano (2014).

Vijana wa Kujitolea walioajiriwaTangu mwaka 2003 hadi 2014 jumla ya vijana 24,708 wameajiriwa katika vyombo vya ulinzi na usalama ambapo vijana 21,977 wakiwemo wavulana 17,307 na wasichana 4,670 wameajiriwa na Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Jeshi la Polisi vijana 3,965 wavulana wakiwa 2,943 na wasichana 1,022, Magereza vijana 2,139 wavulana 2,044 na wasichana ni 95, Zimamoto vijana 100 wavulana wakiwa ni 78 na wasichana ni 22 na taasisi zingine vijana 592 Vijana 1,622 wameajiriwa katika taasisi mbalimbali kama TANAPA, GEITA GOLD MINE, BANDARI na AFRICAN GOLD MINE.

Ni vema vijana hao wakatambua kuwa tatizo la ajira sio kwao peke yao, ni tatizo la ulimwengu mzima Tanzania ikiwemo, wanashauriwa kutumia stadi za kazi kujiajiri wenyewe.

Aidha, vijana hao watambue kuwa walikula kiapo cha UTII, wakati wa kuhitimu mafunzo ya JKT, hivyo suala la kuandamana ni kinyume cha kiapo chao. Vijana hao walitumikia Jeshi la Kujenga Taifa Operesheni za nyuma na kumaliza mkataba wa miaka miwili. Shinikizo lao la kulazimisha ajira kwa kuandamana ni kinyume cha sheria za nchi.

Kwa maelezo ya hapo juu utaona kuwa Jeshi la Kujenga Taifa, halina dhamana ya kuajiri bali kufunza vijana wa taifa hili umoja, stadi za kazi na uzalendo baada ya hapo wenye sifa za kuajiriwa hupata ajira katika taasisi mbalimbali za serikari na binafsi.

MKUU WA WILAYA YA MOSHI,NDG NOVATUS MAKUNGA AKIPOKEA MSAADA KUTOKA KAMPUNI YA BONITE BOTTLERS LTD

Written By CCMdijitali on Friday, May 22, 2015 | May 22, 2015


Meneja masoko na mauzo wa kampuni ya Bonite,Christopher Loiruk akikabidhi msaada wa sukari kilo 750 kwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Ndg Novatus Makunga kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko katika vijiji vya Mikocheni,Kilungu na Chemi chemi.

Meneja masoko na mauzo wa kampuni ya Bonite Bottlers Ltd ,Christopher Loiruk akikabidhi msaada wa maji zikiwa ni  katoni 500 kwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Ndg Novatus Makunga kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko katika vijiji vya Mikocheni,Kilungu na Chemi chemi.

Meneja muajiri wa Bonite Bottlers ,Joyce Sengoda akikabidhi ndoo za mafuta kwa mkuu wa wilaya ya Moshi,Ndg Novatus Makunga ambazo zimetolewa 30 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko katika vijiji vya Mikocheni,Kilungu na Chemchem.

Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Ndg Novatus Makunga akipokea msaada wa sabuni kutoka kwa meneja masoko na mauzo wa kampuni ya Bonite Bottlers,Christopher Loiruk kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wilaya ya Moshi vijijini.

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Ndg Novatus Makunga akipokea msaada wa unga kutoka kwa Meneja mwajiri wa kampuni ya Bonite Bottlers,Joyce Sengoda kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko.


Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Ndg Novatus Makunga akizungumza mara baada ya kupokea msaada kutoka kampuni ya Bonite Botttlers kwa ajili ya waathirika wa mafuriko.

Eneo mojawapo ambalo wakazi wake wameathirika kwa mafuriko katika kijiji cha Kilungu.

Msaada wa maji ambayo yametolewa kwa waathirika wa mafuriko katika vijiji hivyo ili kupunguza kutokea kwa maradhi ya tumbo yanayoweza kutokea kwa matumizi ya maji machafu.

 Unga wa ngano ukishushwa kwa ajili ya waathirika hao.
Unga wa ngano ukishushwa kwa ajili ya waathirika hao.
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link