TANZANIA YAPONGEZWA KUWA KINARA WA MASUALA YA AMANI NA USALAMA UKANDA WA MAZIWA MAKUU

  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongezwa kwa kuwa kinara katika masuala mbalimbali yanayolenga kuleta amani na usalama katika Ukanda wa...

Latest Post

Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi John M. Haule amtembelea Balozi Seif Zanzibar

Written By CCMdijitali on Tuesday, June 30, 2015 | June 30, 2015



 Balozi Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi John Michael Haule akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika Ofisini kwake kujitambulisha na kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo wa Kidiplomasia.
Balozi Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi John Michael Haule akibadilishana mawazo na Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Picha na – OMPR – ZNZ.

 Press Release:-

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba uendelezaji wa Sekta ya Biashara kati ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamuhuri ya Watu wa Kenya chini ya mwamvuli wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki utafungua njia ya kuimarisha ustawi wa Wananchi wa pande hizo mbili.

Alisema Kenya na Tanzania zina uhusiano wa muda mrefu wa Kihistoria licha ya changamoto ndogo ndogo zinazojitokeza katika baadhi ya wakati ambazo uwezo wa kuzitatua upo kwa kushirikisha mazungumzo ya pamoja baina ya Viongozi wa Nchi hizo mbili.

Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akizungumza na Balozi Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Balozi John Michael Haule aliyefika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kujitambulisha sambamba na kuaga rasmi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alimuomba Balozi John Michael kusimamia vyema uhusiano huo wa Kenya na Tanzania katika kuangalia fursa zilizopo kwenye Sekta ya Utalii inayoonekana kushika kasi hivi sasa katika uchumi wa Mataifa mengi Duniani kwa.

Alisema kutokana na kuimarika vyema kwa miundombinu kwenye Sekta ya Utalii hapa Zanzibar Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya inastahiki kuandaa utaratibu maalum wa kuitangaza Zanzibar ili kuhamasisha wawekezaji wa Kenya kuanzisha Miradi yao ya kiuchumi.

Balozi Seif alifahamisha kwamba uhamasishaji huo pia ungefanywa katika kuwashawishi hata wageni na watalii wanaoingia Nchini Kenya kutenga muda wao wa kuitembelea Zanzibar ili kujionea miundo mbinu na rasilmali za utalii zinazopatikana Zanzibar.

Mapema Balozi Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi John Michael Haule alimueleza Balozi Seif kwamba Ofisi ya Ubalozi huo itajipanga kutoa huduma muda wote wa wiki kwa wageni na watalii watakaokuwa tayari kutaka kuitembelea Tanzania.

Balozi John alisema maafisa wa Ubalozi huo watakutana na watembezaji utalii Nchini Kenya kwa lengo la kuwaeleza nia ya Tanzania katika kutoa huduma za viza hata siku za mapumziko wakati inapobidi.

Balozi Mteule huyo wa Tanzania Nchini Kenya alimuhakikishia Balozi Seif kwamba atasimamia kwa nguvu zake uwamuzi wa wawekezaji wa Kenya watakaoonyesha nia ya kutaka kuwekeza Vitega uchumi vyao katika Visiwa vya Zanzibar.

Alifahamisha kwamba vielelezo alivyovipata wakati wa mazungumzo yake na Viongozi wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar na Mamlaka ya Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar { ZIPA } vitamrahisishia kazi yake kuifanya kwa ufanisi katika kuzitangaza fursa za Utalii zilizopo Visiwani Zanzibar.

Othman Khamis Ame
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
30/6/2015.

Mosses Mwizarubi atua viwanja CCM Wilaya Arusha.

Written By CCMdijitali on Monday, June 29, 2015 | June 29, 2015

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha ndg Wilfred Soilleli akimkaribisha mmoja wa watia nia ya Ubunge Jimbo Arusha Ndg Mosses Mwizarubi,alipotembelea kujitambulisha Ofisi ya CCM Wilaya ya Arusha leo.

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Ndg Wilfred Soilleli akimkaribisha mmoja wa watia nia ya Ubunge Jimbo Arusha Ndg Mosses Mwizarubi na kushoto ni Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Wilaya ya Arusha Ndg Jasper Kishumbua,Ndg Mosse amekwenda kujitambulisha Ofisi ya CCM Wilaya ya Arusha leo.


Katibu wa UWT Kata ya Kaloleni Ndg Saumu Kassim akisalimiana na  Ndg Mosses Mwizarubi,mmojawapo wa walionyesha  nia ya Ubunge Jimbo Arusha alipotembelea kujitambulisha Ofisi ya CCM Wilaya ya Arusha leo.

Kigwangala na Safari ya Mabadilko Mkoani Manyara

Dk Hamisi Kigwangala na Safari ya Mabadiliko 2015

Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Sekei atua Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha leo.

Written By CCMdijitali on Sunday, June 28, 2015 | June 28, 2015

 Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Sekei Ndg Saidi Abdul ametembelea Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha kujionea jinsi  zoezi la udhamini wa watangaza nia ya Urais wa Chama Cha Mapinduzi unavyoendeshwa Wilayani hapo.

Balozi Seif afungua Semina ya Siku moja juu ya mwenendo wa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Kimarekani

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiifungua Semina ya Siku moja juu ya mwenendo wa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Kimarekani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Hapo Ukumbi wa Baraza hilo Mbweni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bwana Juma Hassan Reli akitoa ufafanuzi kabla ya kuanza kwa semina ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar juu ya mwenendo wa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Kimarekani.
 Mkurugenzi wa Sera za Kiuchumi na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania Dr. Masawe Joseph akitoa Mada kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi juu ya mwenendo wa sarafu ya Tanzania.
 Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh. Pandu Ameir Kificho wa pili kutoka kushoto akichangia pamoja na kuliza maswali kwenye semina ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar juu ya mwenendo wa sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Kimarekani.

Wa mwanzo kulia ya Spika Kificho ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh. Ali Abdulla Ali, kushotoya Spika Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bwana Juma Hassan Reli.

Baadhi ya Watendaji wa Benki Kuu ya Tanzania { BOT } pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia michango na maswali mbali mbali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya Wajumbe hao kwenye kwenye semina hiyo.
Picha na – OMPR – ZNZ.

 Press Release:-

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba thamani ya shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Kimarekani huathirika mara kwa mara kutokana na Taifa kutegemea kuagiza bidhaa zaidi kutoka nje badala ya bidhaa hizo kuzalishwa na makampuni ya hapa nchini

Alisema nyingi ya biadhaa zinazoingizwa Nchini huagizwa kwa fedha za kigeni, hususan Dola za Kimarekani na kuuzwa kwa fedha za Kitanzania jambo ambalo hushajiisha uingizaji zaidi wa bidhaa na huduma kutoka nje.

Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akiifungua Semina ya siku moja ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi juu ya mwenendo wa Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani iliyofanyika katika Ukumbi wa juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Alisema athari ya kuteremka kwa thamani ya sarafu ya Shilingi ya Tanzania hasa katika kipindi cha hivi karibuni imekuwa kubwa zaidi kuliko faida yake na kupelekea kuzuka kwa malalamiko kwa Wananchi waliowengi hasa wafanyabiashara kutokana na kubadilika sana kiwango cha sarafu hiyo dhidi ya Dola.

Balozi Seif alieleza kwamba kiwango cha ubadilishaji wa fedha kimekuwa ni mojawapo ya kubebea mfuko wa bei nchini ikishuhudiwa kupanda kwa bei za bidhaa zikiwemo zile zinazotengenezwa hapa nchini ikitwaja sababu kubwa ni mwenendo wa thamani ya shilingi dhidi ya dola.

“ Hivi karibuni tumeshuhudia kupanda kwa bei za bidhaa, zikikwemo zinazotengenezwa na kuzalishwa humu humu nchini sababu inayotajwakuwa ni mwenendo wa thamani ya shilingi dhidi ya Dola ya Kimarekani “. Alisema Balozi Seif.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alishauri kwamba ili kukabiliana na changamoto hiyo ya kuyumba kwa Thamani ya Shilingi ya Kitanzania umefika wakati kwa Wafanyabiashara na wawekezaji wa sekta ya Viwanda wajitahidi kuongeza uzalishaji kwa kutumia rasilmali za ndani ili kudhibiti mfumko huo.

Mapema Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bwana Juma Hassan Reli alisema Fedha za Kigeni ziliadimika Nchini Tanzania katika miaka ya 80 kutokana na udhibiti wa fedha hizo kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania chini ya Sheria ya kudhibiti fedha za kigeni ya mwaka 1965.

Bwana Juma Reli alisema hali hiyo ilifungua mianya ya rushwa hasa kwa wale waliopewa dhamana ya kusimamia upatikanaji wa fedha za kigeni kwa bei rasmi ambayo katika miaka ya kati ya 1967 - 1984 Dola moja ya Kimarekani ilibadilishwa kati ya shilingi 7.14 hadi shilingi 8.13 za Kitanzania.

Alisema mfumo huo pia ulichochea utoroshwaji wa mitaji kupelekwa nje ya nchi kwani Watanzani walio wengi wakipata fedha za kigeni kwa kutumia njia mbali mbali walishawishika kuzitunza fedha hizo katika Mabenki ya nje ya nchi ili kukwepa sheria.

Ili kuondokana na changamoto hizo Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania alieleza kwamba Serikali ilifanya mageuzi kupitia sheria ya fedha za Kigeni iliyopitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1992 ambayo inamruhusu mtu yeyote kumiliki kiasi chochote cha fedha za kigeni au dhahabu ghafi hapa Nchini.

Alisema Wananchi hivi sasa wana haki ya kununua na kuuza fedha za kigeni kwenye maduka ya kubadilishia fedha pamoja na kuwa na akaunti ya fedha hizo katika mabenki ya Biashara, jukumu la Benki Kuu likibakia kuhakikisha kuwa soko la fedha linaanzishwa na kuendeshwa kwa nguvu za soko.

Bwana Reli alifafanua wazi kwamba soko liliopo sasa la fedha za kigeni linaendelea kukua ambapo ndio msingi mkuu wa kuweka thamani ya shilingi ya Tanzania baada ya kuanzishwa na Benki Kuu ya Tanzania mwaka 1994.

Akitoa Mada kwenye Semina juu ya mwenendo wa Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani Mkurugenzi wa Sera za Kiuchumi na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania Dr. Masawe Joseph alisema sarafu ya Fedha ya Tanzania imeachwa kwenye soko ili kuiwezesha iende sambamba na masoko mengine ya Sarafu Ulimwenguni.

Dr. Masawe alisema mwenendo wa Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani na kuufanya mfumko wa Bei Nchini kufikia asilimia 5.4% ikilinganishwa na Mataifa mengine Duniani zikiwemo baadhi ya Nchi za Bara la Afrika ambazo mfumko wao uko chini ya asilimia 3%.

Mkurugenzi wa Sera za Kiuchumi na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania alifafanua kwamba upungufu wa mapato yanayotokana na bidhaa ya dhahabu na bidhaa nyengine asilia umefidiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na kuongezeka kwa bidhaa za viwanda zinazozalishwa na kusafirishwa nje ya Nchi.

Alisema fidia hiyo imeifanya sekta ya Viwanda kukua na kukusanya mapato ya zaidi ya Dola za Kimarekani Elfu Moja kwa sasa kutoka Dola Mia Nane mwaka uliopita ikitanguliwa na Sekta ya Utalii ambayo kwa sasa inashikilia nambari Moja katika kuchangia pato la Taifa.

“ Lazima tuangalie hiyo shilingi ilipo kwa wakati husika ni mahala pake pazuri bila ya kuathiri pande zote zinazohusika kati ya wakusanyaji, wauzaji na watumiaji “. Alifafanua Mkurugenzi huyo wa Sera za Kiuchumi na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania.

Dr. Masawe alieleza kwamba ni vyema ukawepo uwiano baina ya kushuka na kupanda kwa sarafu ya shilingi kwa vile pande zote husika zina hasara na kunufaika pia, lakini cha kuzingatia zaidi ni udhibiti makini wa mambo hayo ya kupanda na kushuka.

Wakichangia mada ya mwenendo wa thamani ya shilingi ya Tanzania iliyotolewa na Mkurugenzi wa Sera za Kiuchumi na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania Dr. Masawe Joseph, baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi walisema uchumi wa Zanzibar unastahiki kuangaliwa kwa makini kulingana na mazingira yake ili kujieusha na matatizo yanayotokana na kushuka kwa sarafu ya Tanzania.

Wajumbe hao walisema mazingira ya Zanzibar yanategemea uchumi wa bidhaa chache ikilinganishwa na ule wa Tanzania Bara kiasi kwamba maisha ya wananchi walio wengi Visiwani yanategemea Kilimo ambacho bado hakijawa na nguvu za kuwafanya wawe na uwezo wa kusafirisha kwa lengo la kupata uchumi imara.

Waliushauri Uongozi wa Benki Kuu ya Tanzania kuyaangalia mashirikia na Taasisi za Kiuchumi Nchini katika kuziwezesha wakati inapotokea hali au mazingira ya kuporomoka kwa sarafu ya shilingi ya Tanzania kwenye soko la Dunia.

Walifahamisha kwamba yao mashirika na Taasisi zisizopungua 90 Tanzania Bara ambazo ziliwahi kupewa nguvu ya uwezeshaji na Benki Kuu ya Tanzania katika kujiendesha wakati wa kuporomoka kwa soko la Sarafu Ulimwenguni miaka michache iliyoita.

Walieleza kwamba uimarishaji wa Mashirika na Taasisi za ndani ya Nchi utaongeza ufanisi sambamba na kuwapunguzia ukali wa maisha wafanyakazi wa Taasisi za umma na hata binafsi ambao ndani ya miezi mitatu iliyopita wameshindwa kukidhi mahitaji yao kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi.

Wawakilishi hao wameishauri Benki Kuu ya Tanzania kuangalia mazingira ya matumizi ya fedha ya kigeni kama Yuan ya Jamuhuri ya Watu wa china kutokana na wafanyabiasha wengi wa Tanzania kwa zaidi ya asilimia 75% kuendesha biashara zao katika soko la China.

Othman Khamis Ame
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
28/6/2015.

Barack Obama tour: Market country as gateway to Africa, Kenya urged

 
US President Barack Obama boards Air Force One at Andrews Air Force Base in Maryland on June 26, 2014. FILE PHOTO | MANDEL NGAN | AFP

 In Summary
  •  The visit is expected to command considerable global attention.
  •  Mr Obama’s Kenyan roots have been the subject of fascination.
 By SUNDAY NATION TEAM

President Barack Obama’s visit to Kenya — the first by a sitting US President since independence — could help boost efforts to position the country as an investment, diplomatic and political “gateway to Africa” although analysts warn that more needs to be done to reap benefits from the historic trip.

President Obama is expected in Nairobi from July 24 to attend the Global Entrepreneurship Summit, a White House initiative which gathers entrepreneurs and investors from around the world and is aimed at showcasing innovative projects and spurring economic opportunity.

The visit is expected to command considerable global attention, including from a travelling party of more than 300 journalists, because of its huge symbolic importance.

Mr Obama is the son of Kenyan Barack Obama Sr, who travelled to America to attend Harvard University in 1959. Mr Obama Sr married an American, Ms Ann Dunham, two years later and they had a son who would go on to be the first black President of the United States.

Mr Obama’s Kenyan roots have been the subject of fascination — and some controversy among conspiracy theorists who argue he was unqualified to run for President, with some claiming he was born in Kenya. His visit to East Africa, which will also take him to neighbouring Ethiopia, will be one of his most closely watched foreign trips.

While the trip will have emotional importance to Mr Obama, who first visited Kenya as a young graduate in his 20s to trace his roots and later arrived in Nairobi when he was elected senator, the visit will also be of huge importance to Kenya.

For 48 hours, the country will be in the shop window of the world, with 1,500 delegates expected at the entrepreneurship summit and millions others following the event from across Africa and beyond.

“This is big,” says Prof Joseph Kieyah of the Kenya Institute for Public Policy, Research and Analysis. “The symbolic value of the trip is huge and the eyes of the world will be on Kenya. The Americans will have prepared for this for more than a year and will know exactly what they want.

The question is whether we, Kenyans, will know how to make maximum use of such a rare opportunity.”

Although Kenya has historically been one of America’s strongest allies in Africa, it has never received a presidential visit from Washington.

The first two sitting presidents to visit sub-Saharan Africa — Franklin D. Roosevelt and Jimmy Carter — travelled to West Africa, while President George H.W. Bush only made a brief visit to Somalia to witness the US troops humanitarian mission in the country in January 1993.

President Clinton was the first to make an extensive visit to Africa in 1998 and 2000, but he restricted his tour to countries seen as part of the “African Renaissance” at the time including Ghana, South Africa, Uganda, Rwanda, Botswana, Nigeria and Tanzania.

President George W. Bush likewise skipped Kenya on his visits and opted to travel to neighbouring Tanzania. And to the disappointment of many Kenyans, President Obama also avoided Kenya on his previous trips to the continent.

POLITICALLY FEASABLE

That was partly due to the International Criminal Court indictment which was hanging over President Uhuru Kenyatta’s head. But with the case dropped, President Obama seems to have assessed that a trip to the country is politically feasible.

The fact that he will not run for re-election and is, therefore, no longer worried about the conspiracy theorists, also undoubtedly played into his calculus.

The Nairobi trip will be seen as clinching the reconciliation process between the Kenyan Government and the West, whose relations were placed in a hostile position during the election campaigns and worsened following Mr Kenyatta’s post-election onslaught on Kenya’s old European and American allies.

According to a briefing on the White House website written by two national security aides to Mr Obama, Grant Harris and Shannon Green, the trip will be of considerable importance.

“Just as President Kennedy’s historic visit to Ireland in 1963 celebrated the connections between Irish-Americans and their forefathers, President Obama’s trip will honour the strong historical ties between the United States and Kenya — and all of Africa — from the millions of Americans who trace their ancestry to Africa.”

Dr Samuel Nyandemo of the University of Nairobi says a critical way of measuring the success of the visit will be in assessing the level of investment which Kenya draws in the months after President Obama leaves.

“Kenya should be strategic enough to make every effort to boost investor confidence and attract as much foreign capital as possible in areas which generate jobs. There is no room for sentimentality, even though we all know that this summit was mainly a chance for President Obama to get a plausible reason to come and visit the land of his roots.”

In their article on the White House website, Obama advisers Harris and Green argue that Kenya had been picked because of the entrepreneurial spirit of its people and its leading role on the continent in this field.

“Choosing Kenya as the destination for GES underscores the fact that Africa, and Kenya in particular, has become a centre for innovation and entrepreneurship,” they write.

James Shikwati, Director of Inter Region Economic Network, called for transparency in selecting the entrepreneurs who will showcase their talents in front of investors who, he argued, could help scale up their enterprises and support innovation.

“This is a chance to position Kenyan entrepreneurs before a global audience of significant influence.

There is no room for tenderpreneurs here (a reference to suppliers known for clinching corrupt deals).

They should have only real men and women of talent who can use this as a platform to grow. It would be a mistake to celebrate the ambience of hosting Obama and be left with a hangover afterwards.”

Mr Shikwati argues that Kenya should hammer the mantra of being the “gateway to Africa” as a key entry point for investors and major powers seeking to have influence on the continent.

GEOPOLITICAL HEADACHE

“Kenya has in recent years tried to position itself geopolitically to the extent that it was beginning to become a headache to the West. It upped the stakes until Western countries realised they didn’t want to lose their key ally that easily. But that is not enough. The key question is, how do you position yourself to benefit?”
President Obama’s visit will inevitably also be seen in the context of superpower competition between America and China. The most recent Heads of State summit for African leaders in Beijing was swiftly followed by a similar gathering in Washington in August 2014.

It was not lost on observers that while past gatherings in America would have been dominated by questions of human rights and governance; business, investment and generation of power were the key themes during the Africa summit.

Analysts see this as an effort to avoid losing ground to China which has taken an aggressive approach in seeking partners in Africa and whose Foreign Minister, Wang Yi, came to Nairobi in January.

Although China has moved ahead of all others to become the biggest provider of capital investment, especially for infrastructure projects in Africa, a recent surge of interest by American firms eyeing a share of the income of Kenya’s middle class, one of the bigger ones on the continent, means that America remains a visible and major player.

General Electric, Google, IBM, Visa International, Moneygram and Nestle are among major players that have opened regional headquarters in recent years.

Highly visible American outlets such as Cold Stone ice cream, Kentucky Fried Chicken, Subway Express and supermarket giant Walmart are gradually becoming fixtures in major urban centres, joining traditional American players such as Java Coffee.

The American press has also been bullish about Kenya’s prospects, with the business magazine, Fortune, naming Kenya as one of the “seven smart bets” to which companies should turn for strategic investment.

Kenya has, however, had its fair share of problems, most notably in the security sector where attacks by Al-Shabaab have shaken the country’s image as a traditionally safe destination and hurt the tourism industry.

Although Kenya is likely to lobby against travel advisories, the key question will be whether substantial efforts will be put in by the government to handle the problems the country faces on that front.

In the short term, President Obama’s visit, with his large media and business entourage, is expected to provide a dollar boom for hotels and hospitality linked businesses.

Prof Kieyah, however, argues that the long-term picture will be the key thing to watch. He says the private sector should take a leading role in exploiting the opportunities which arise, arguing that the government cannot shoulder this task alone.

“Our task is to educate Kenyans and investors and tell them to come and grab all these chances.

 Waiting for the government to do it will be a mistake because it is caught up in all manner of issues, including insecurity. The Americans will definitely achieve what they want and Kenyans will have themselves to blame if they can’t position themselves for reciprocal benefits.”

Mahojiano ya Joyce Kiria na Balozi Amina Salum katika video na Wasifu wake

Published on Jun 26, 2015
Wanawakelive kati ya Wanawake walio jitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais 2015 huyu ndio mmoja wapo, Amina S Ali Mgombea Urais Tanzania 2015 haya ndio aliozungumza ndani ya studio zetu za Wanawakelive




(Wasifu )

MAELEZO BINAFSI:

Jina: Amina Salum Ali

Tarehe ya Kuzaliwa: 24 October 1956

Uraia: Tanzania

Jinsia: M/Mke

Anuani : S.L.P 4726
Zanzibar, Tanzania

Barua pepe: ahadizetuziendanenavitendo2015@gmail.com

ELIMU:
  • 1979: University of Delhi (India) – B.A Economics
  • 1981: University of Pune (India) (Symbiosis College of Management) -MBA in Marketing ( Masoko )
  • 1981: Institute of Management Pune, India – Diploma in Financial Management , Operation Research.
  • 1983: University of Helsinki, Finland – Diploma in Trade and Export Marketing

UZOEFU WA KAZI

  • 1981 – 1982: Mchumi mwandamizi (Senior Economist) Msaidizi Kamishna wa uchumi wa jumla (Macro Economy ) Tume ya Mipango Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar . Majukumu makubwa ni kumsaidia Kamishna katika kupanga mipango ya kitaifa hasa katika Mipango ya pamoja ya Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (5 years Joint Plan for Tanzania) Mipango ya jumla ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • 1982 – 1983: Mkurugenzi Biashara za Nje – Wizara ya Biashara ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. kushugulikia masuala ya biashara ya nje Zanzibar ,kutengeneza sera za mauzo nje Zanzibar kufanya tafiti ya bidhaa za ziada za kuuza nje na kutafuta matumizi mapya ya bidhaa za Zanzibar zikiwemo viungo kama karafuu ,nazi na mazao yake kama mbata ,mashudu na mafuta ya nazi. Kuratibu mashirikiano na vyombo vya kimataifa vinavyo shgulikia mambo ya mauzo ya nje kama vyombo vya Umoja wa mataifa kama UNCTAD ,ITC na vyombo vya nchi mbali mbali na halmashauri ya Biashara za Nje (TANTRADE) kwa upande wa SMT.
  • 1983-1984: Katibu Bodi ya Biashara Zanzibar (Wizara ya Biashara Zanzibar.) Kushugulikia Tenda za manunuzi ya Serikali kufuatilia mauzo ya bidhaa zote za Serikali zinazouzwa nchi za nje.

  • Kufuatilia tafiti za Masoko kwa bidhaa za Zanzibar na kujua hali ya Masoko nchi za nje na kuandaa takwimu za biashara za Zanzibar na nchi za nje zinazotumiwa na Tume ya mipango ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
  • 1984 – 1985: Mchumi Mwandamizi – Tume ya Mipango, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. 

(i) Kushughulikia fedha za nje na mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
na nchi marafiki na mashirika ya kimataifa.

(ii) Msaidizi wa Mshauri wa Uchumi wa Zanzibar kushughulikia sheria ya Uwekezaji ambayo ilikuwa ya mwanzo nchini Mashariki ya Afrika (kabla ya nchi zengine kufuatilia katika miaka ya tisini).
  • 1985-1990: Mbunge Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
  • 1985 – 1986: Naibu Waziri wa Fedha – Wizara ya Fedha , Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania(SMT).Msaidizi mkuu wa Waziri wa Fedha .kushughulikia masuala ya Uchumi na Mipango , matumizi na mapato ya Taifa pamoja na vyombo vya fedha .

  • 1986 – 1989: Waziri wa Nchi , Wizara ya Mambo ya Nje, Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania(SMT) anaesimamia Uhusiano wa Kimataifa na wa Kikanda, na vyombo vya Kimataifa na vya kiuchumi kama Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Afrika (OAU) na Tume ya pamoja Mashirikiano na nchi marafiki. Mwenyekiti katika kipindi chote wa Kamisheni hizo (Joint Commissions) na nchi zote marafiki za Afrika, Bara la Asia kama China, Iran, Urusi, Korea ya Kaskazini, Nchi za Marekani ya kusini kama Guyana, Venezuala, Ulaya ya Mashariki (Bulgaria). 

  • Mwenyekiti wa Vikao vya Mawaziri vya Kanda ya PTA sasa COMESA mwaka 1987, na Vikao vya Mawaziri wa SADC mwaka 1988. 
  •  Mwenyekiti wa Kikao cha Mawaziri wa Fedha na Uchumi cha UNECA mwaka 1987 Ethiopia na Niger. 
  •  Mwakilishi wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye vikao vya G77, Mahusiano ya kiuchumi na nchi za Kusini (South South Cooperation) UNECOSOC, na Mwakilishi kwenye vikao vya nchi za Visiwa.
  • 1989 – 1990: Waziri wa Nchi, Wizara ya Fedha Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) Kushughulikia Mahusiano ya Kimataifa na Kikanda na pia kuratibu suala la kulipa madeni tunayodaiwa na nchi marafiki walio nje ya utaratibu wa Paris (IMF, WORLD BANK)
  • 1990 – 2000: Mbunge bunge la Jamhuri ya Muungano
  • 1990 – 2000: Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuteuliwa na Rais na pia Jimbo la Kwahani Zanzibar.
  • 1990 – 2000: Waziri wa Fedha, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar akiwa na jukumu la kusimamia Uchumi wa Nchi Msimamizi Mkuu wa Sera ya Mapato na matumizi ya SMZ, Sera za Uchumi na Fedha na ukuaji wa Uchumi na vyombo vya Fedha zikiwemo Mabenki na Mashirika ya nayo husiana.
  • 2001 – 2005: Mjumbe wa Tume ya Mipango, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar . Majukumu ya kusimamia sera za Uchumi ya Zanzibar na masuala yote ya Serikali yanayohusu Mipango ya nchi
  • 2005-2006: Mjumbe Baraza la Wawakilishi – nilijiuzulu baada ya kujiunga na AU.
  • 2005 – 2006: Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Kiongozi, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. 

  • Kushughulikia uratibu wa Serikali, Tume ya Uchaguzi, Baraza la Wawakilishi, Sera ya Uwezeshaji wa wananchi na Mashirika yanayotoa mikopo midogo midogo TASAF, Mkurabita nk.

  • Uratibu wa mashirikiano na Serikali ya Muungano (SMT), Masuala ya Maafa, Masuala ya walemavu, Masuala ya HIV-Aids na Tume ya Ukimwi ya Zanzibar na Uratibu wa mambo ya ndani ya Nchi Polisi na Uhamiaji.

  • 2006 – Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) Marekani (United States) akiwa kama ni Muwakilishi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika.

 (i) Mshauri wa Kamisheni Umoja wa Afrika kuhusiana mambo ya Afrika huko Marekani.

 (ii) Kufuatilia mambo ya Maendeleo ya Afrika huko Marekani kwa kuwajuilisha kuhusu sera mbali mbali za bara la Afrika zinazoendelea na mpya.

(iii). Kuwashajiisha wawekezaji wa Marekani na pia Diaspora wa jamii ya Kiafrika huko Marekani kuwekeza Afrika.

(iv) Kuimarisha uhusiano baina ya Marekani na vyombo vya Serikali, Mabunge na Taasisi za kijamii za Afrika .

(v) Kusaidia kupatikana kwa Fedha za Maendeleo ya Afrika kwa kuzieleza Sera za Maendeleo za Afrika, na kuwashawishi waziunge mkono.

(vi) Kushirikiana na vyombo vya fedha vya Bretton Woods (World Bank na IMF) kwa Maendeleo ya Afrika.

(viii) Kuleta mashirikiano na vyombo vya Elimu ya juu, Mashirika ya Kimataifa, Mifuko ya Maendeleo, Vyombo vya kujitolea na vya hiari (Universities, Research Institutes, Philanthropic Institute Foundations ie Gates, Clinton etc) Kuifahamisha Marekani mambo ya Maendeleo na taarifa njema za kutia moyo na zenye kuleta Maendeleo kwa jamii ya Afrika kwa wamarekani, kwa kutumia vyombo vya habari vyenye Taarifa sahihi.

(xv) kuratibu shughuli za ofisi za kibalozi za Afrika kwa lengo kubwa la kuweza kuwa na sauti ya pamoja katika masuala muhimu ya Afrika na maendelo yake pia na mahusiano na serikali ya Marekani

UZOEFU KATIKA CHAMA
  • 1968: Nilijiunga na Umoja wa Vijana wa ASP (ASP Youth League) na kuendelea na Uanachama hadi kuzaliwa kwa CCM mwaka 1977
  • 1977: Nilijiunga na Chama Cha Mapinduzi baada ya kuunganishwa kwa vyama vya ASP na TANU na kuzaliwa CCM
  • 1987 – 2006: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi hadi nilipolazimika kujiuzulu kufuatia kuteuliwa kuwa Mwakilishi wa kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) huko Marekani. Mlezi wa Jumuiya ya Vijana Mjini
  • 1992 – 2006: Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi hadi nilipojiuzulu kufuatia kujiunga na Umoja wa Afrika (AU)
  • 2003 – 2006: Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wanawake ya Chama cha Mapinduzi , nafasi niliyolazimika kujiuzulu baada ya kuteuliwa kuwa mwakilishi wa Umoja wa Afrika Marekani.
  • 1987 – 2006: Mjumbe wa Kamati mbalimbali zilizoundwa na Chama kwa kipindi chote nilichokuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi.
  • Mlezi wa mkoa Morogoro.
  • Mlezi wa umoja wa vijana Zanzibar wilaya ya Mjini.

SHUGHULI ZA KIJAMII

  • 1990: Mwanzilishi wa Jumuiya isiyo ya Kiserikali (NGO) ya kwanza kuhamasisha Maendeleo ya Wanawake (Catalyst Organisation for Women Progeress in Zanzibar)
  • 1995: Mwanzilishi wa Zanzibar Welfare Trust, na pia nimekuwa mlezi wa Zanzibar NGO Clusters.
  • Aidha alikuwa Mwanzilishi wa Umoja wa Wawakilishi Wanawake katika Baraza la Wawakilishi la Zanzibar.
  • Mwanzilishi wa mfuko wa Rais wa Kujitegemea

BODI MBALIMBALI
  • 1992 – leo Mwenyekiti wa Jumuiya isiyo ya Kiserikali ya kuendeleza Wanawake Zanzibar (Catalist Organisation for Women Progress in Zanzibar) –COWPZ
  • 1992-1995: Mjumbe Bodi ya Biashara za nje Wizara ya Biashara na Viwanda SMT.
  • 1996 – 1999: Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Magazeti ya Chama Uhuru na Mzalendo
  • 2002- 2005: Mjumbewa baraza la chuo kikuu Cha mzumbe (Mzumbe university council)
  • 2003 – 2004: Mjumbe wa Bodi ya Biashara ya Nje, Wizara ya Biashara na Viwanda – Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
  • 2003 – 2005: Mjumbe wa Mfuko wa Elimu Zanzibar, Wizara ya Elimu Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar.
  • 2004 – 2005: Mjumbe wa Bodi maalum iliyoshughulika na kazi za Maendeleo ya Wanawake katika Benki ya Maendeleo ya Kiislamu (JEDDAH)
  • 2004 – 2006: Mdhamini wa Jumuiya zisizo za Kiserikali Zanzibar (Zanzibar NGO Clusters – ZANGOC zinazoshughulika na masuala ya Ukimwi (HIV – AIDS)

  • LUGHA: Kiswahili na Kiingereza – Kuongea na Kusoma kwa Ufasaha
Mh. Amina Salum alipotembelea Ikulu ya Marekani (White House). Picha ni pamoja na Rais wa Marekani Barak Obama


 Mh. Amina Salum Ali akiwa anaongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo ya ushirikiano wa Tume ya Pamoja na Serikali ya China.
MH. Amina Salum Ali akisaini mkataba nchini China.
 MH. Amina Salum Ali akiwa mkuu msafara nchini China kushoto ni MH. JK enzi hizo.
 Mwaka 1987.
 Mikutano ya hadhara ya CCM. Alikua na cheo cha Makamu Mwenyekiti UWT, Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Halmashauri Kuu CCM – Zanzibar
 Mh. Amina Salum Ali akiwa ni mwenyeji wa Mama Theresa.
 Mh. Amina Salum Ali alipotembelea ofisi ya Secretary of State John Kerry.
 Mh. Amina Salum Ali alipochukua fomu za kugombea Urais wa Zanzibar mwaka 2000 – Zanzibar.
Wakati wa kampeni – Jimbo la Kwahani 1995

Two Tanzanians held at border in terror crackdown


From right: Deputy Inspector-General of Police Samuel Arachi, Interior Principal Secretary Monica Juma, Interior Cabinet Secretary Joseph Nkaissery, National Police Service Commission chairman Johnston Kavuludi and Inspector-General of Police Joseph Boinnet outside Harambee House on April 21, 2015. PHOTO | EVANS HABIL | NATION MEDIA GROUP



By ELVIS ONDIEKI

In Summary
  •  They are among 57 people captured since Garissa University College attack.

Kenyan security agents have arrested two Tanzanians at Isibania on the Kenya-Tanzania border as they attempted to recruit Kenyan women into Al-Shabaab, the Interior ministry said on Saturday.

Also, a man is now in custody after his photograph was circulated by police in the media for taking part in a June 14 dawn attack on Baure military camp in Lamu County.

Interior Cabinet Secretary, retired Major-General Joseph Nkaissery, said the three are among 57 people captured over terror-related offences since the April 2 attack on Garissa University College.
He said the two Tanzanians were arrested on Friday.

Speaking at a press briefing to explain the state of security, Mr Nkaissery said the 57 include 48 foreigners arrested in Garissa, Mandera and Wajir counties after police were tipped off by the public.

Also among them is suspected terrorist Abdulhakim Abdul Samad “who claimed to be a Briton born of Somali ancestry in Lamu but currently resides at 27 Rufford Tower, Lexeden in London”.

“He claims to have settled in London in 2000 and works at Harrods Department Store,” Gen Nkaissery said.

“The suspect was stopped at Witu roadblock but failed to stop. Police pursued him and arrested him at Gamba. He had no passport or driving licence.”

Others in the list of those arrested, he added, are six youths “believed to be from Somalia and one person who has links with Al-Shabaab”.

“The arrest was done in Makaburini area in Kakamega County. They are all under interrogation,” he said.

The minister asked Kenyans to inform the police whenever they lose their identification documents.

“Foreign criminals are illegally acquiring Kenyan national identity cards and indigenous names in an effort to try and blend with our communities. We remind Kenyans that loss of personal identification documents like identity cards, birth certificates and passports should be reported to the police immediately and an abstract to that effect obtained. This will further help the authorities to flag out such documents and invalidate their illicit usage.”

He said the arrest made at the Isebania border was proof that terrorists were spreading all over Kenya.

“This illustrates the desperate efforts these criminals are making from all corners of our country in their effort to harm us,” he said, adding that the Tanzanians were being investigated and would be taken to court soon.

“But let me point out that we are increasingly focusing on the points of operations by these groups internally and externally to exterminate them. We are gradually dismantling them and soon we will purge these criminals from our midst,” he added.

Mr Nkaissery said Kenya condemns incidents that occurred in Somalia, Tunisia, France, Syria and Kuwait on Friday “where dozens of innocent people lost their lives at the hands of terrorists”.

“Kenya condemns these acts and stands in solidarity with our brothers and sisters all over the world in the fight against terrorism and in propagating for a safer environment free of terror.

“My assurance is that all our security agencies are and will remain vigilant throughout this period (of Ramadhan) and beyond,” he said.

The minister asked the public to keep informing security agencies of any suspicious activity.

Brazil 1-1 Paraguay (3-4 on pens):

Dunga's side crash out of Copa America quarter-finals after dramatic penalty shoot-out sees Ribiero and Costa fluff their lines
  •  Robinho opened the scoring for Brazil after 15 minutes at the Ester Roa Rebolledo Stadium
  •  Derlis Gonzalez equalised for Paraguay from the penalty spot in the 70th minute
  •  Paraguay won 4-3 in the penalty shoot-out with Gonzalez scoring the winning kick
  •  Ramon Diaz's side now have the chance to reach a second successive semi-final
No Neymar, no flair, and no Copa America semi-final against Argentina - it was Brazil, but not as we know them.

Dunga's side had failed to convince en-route to the last eight and could not build on Robinho's opening goal in Concepcion, eventually losing to Paraguay on penalties, just as they did four years ago.

And the opportunity to reach a second successive final is the least Ramon Diaz's side deserved for a dominant second-half performance.

 Derlis Gonzalez wheels away in celebration after booking Paraguay a place in the semi-finals of Copa America
 Paraguay players celebrate as they seal a place in the last-four with victory against Brazil in the shoot-out
 Brazil players look dejected after the defeat to Paraguay on penalties in the quarter-finals in Concepcion
 A Paraguay supporter celebrates as she watches her side clinch a place in the last-four in Chile
 Both teams look on as the penalty shoot-out takes place in the Copa America quarter-final on Saturday

 Paraguay's equaliser came from the spot via the boot of Derlis Gonzalez and, after dreadful misses from Everton Ribeiro and Douglas Costa in the shoot-out, the same player clinched victory to set up a repeat of their first group game against Argentina.

Brazil coach Dunga, who was forced to apologise this weekend for comparing the criticism he receives to the persecution of black people, kept faith in the side that beat Venezuela last weekend.

Paraguay rang the changes however with Diaz recalling four players to his starting line-up, including former Manchester City striker Roque Santa Cruz.

But his side were soon on the back foot as Filipe Luis fed Philippe Coutinho and the Liverpool midfielder's fierce drive from 30 yards was tipped over by Justo Villar.

On Friday night, Colombia had successfully held out against Argentina for 90 minutes, but Paraguay were already showing more adventure with Santa Cruz heading just wide from Julian Benitez's deft chip into the area.

Thiago Silva then had to be alert to stop a cross from Nelson Valdez reaching the former Manchester City striker but it was Brazil who broke the deadlock.

Robinho started the move he would soon finish, feeding Elias who in turn found Dani Alves and the Barcelona full-back's cross was converted with aplomb.

Previous editions of this competition have both launched Robinho's international career and heralded the start of his two-year exile.

Eight years ago, he scored all four of Brazil's goals in the group stage before adding two more to finish as the tournament's top scorer.

He was also named the best player in Venezuela as Argentina were beaten in the final.

But in 2011, he failed to score in any of Brazil's four games as they lost on penalties to Paraguay in the last eight and soon found himself shunned by first Mano Menezes and then Luis Felipe Scolari.

But Dunga's return to the touchline and a successful loan spell at Santos led to another chance and he had been the focal point of Brazil's attack since Neymar's red card

MATCH FACTS
  • Brazil (4-2-3-1): Jefferson 7, Alves 7, Silva 5.5, Miranda 7, Filipe Luis 6.5, Fernandinho 6.5, Elias 6.5, Willian 6 (Costa 60, 6), Coutinho 6.5, Robinho 7.5 (Ribiero 87), Firminho 5.5 (Tardelli 69, 6)
  • Subs not used: Luiz, Neto, Marquinhos, Geferson, Fabinho, Fred, Casemiro, Grohe
  • Goal: Robinho 15
  • Booked: Alves, Coutinho
  • Paraguay (4-4-2): Villar 6.5, Aguilar 6.5, Da Silva 7.5, B Valdez 6.5, Piris 6.5, Gonzalez 7, V Caceres 7, Aranda 6.5 (Martinez 77), Benitez 6.5 (Romero 84), Santa Cruz 6, N Valdez 7 (Bobadilla 73, 6)
  • Subs not used: M Caceres, Samudio, Barrios, Silva, Molinas, Balbuena, Oritogoza, Oscar, Aguilar
  • Goal: Gonzalez 72 (pen)
  • Booked: P Aguilar, B Valdez, Martinez
  • Referee: Andres Cunha (Uruguay)

 Robinho celebrates after scoring the opening goal for Brazil in the Copa America clash against Paraguay
 Robinho (third left) celebrates after putting the ball into the back of the net to put Brazil ahead in Concepcion
 Robinho jumps in the air in celebration as the Brazilians take an early lead within the first 15 minutes of the game
 Derlis Gonzalez makes no mistake from the penalty spot to equalise for Paraguay in the second half
 Gonzalez (centre) celebrates with his Paraguay team-mates after drawing his side level

But if his strike was expected to be the cue for an avalanche of goals, it failed to arrive.

Paraguay, stung by the goal, eventually settled back into their rhythm without being unduly troubled.

In fact, Robinho's finish was the only touch in the opposition area by a Brazil player in the first half.

At the other end, Pablo Aguilar could not divert his header clear of imposing centre back Miranda before Nelson Valdez's long-range effort was comfortably saved by Jefferson.

Paraguay began the second half on the ascendancy as Gonzalez tried to curl a free-kick in at the near post only for Jefferson to punch clear before Nelson Valdez headed over when well positioned.

Encouraged, Diaz's side pushed forward and only an alert Jefferson kept out Paulo Da Silva's header from 12 yards.

And having battled back from two goals down against Argentina two weeks ago, Paraguay deservedly levelled with 20 minutes remaining.

Thiago Silva was correctly adjudged to have handled in the area and Gonzalez powered his penalty past Jefferson.

The equaliser forced Brazil to abandon their defensive stance but it was Paraguay who looked more likely to score the winner.

THE PENALTY SHOOTOUT
1 Fernandinho - 1-0 Brazil 
2 Martinez - 1-1
3 Ribeiro - 1-1 
4 V Caceres - 1-2 Paraguay
5 Miranda - 2-2 
6 Bobadilla - 2-3 Paraguay
7 Douglas Costa - 2-3 
8 Santa Cruz - 2-3 
9 Coutinho - 3-3
10 Gonzalez - 3-4 Paraguay

 Brazil's Philippe Coutinho (left) holds off the challenge of Paraguay's Eduardo Aranda at the Ester Roa Rebolledo Stadium
 Uruguyan referee Andres Cunha gestures towards Robinho during a heated debate between the two sides
 Paraguayan Aranda (right) sticks the high boot up in the air as Brazil's Roberto Firmino looks on
 Robinho (left) is challenged in the air for the header by Paraguay's Bruno Valdez during the quarter-final clash
 Brazil head coach Dunga looks on in frustration from the touchline as his side are knocked out of the tournament

Santa Cruz sent Gonzalez racing down the right wing but having cut inside, his shot was parried by Jefferson.

Indeed, Brazil could only muster long-range efforts from Coutinho and Alves in the closing stages as their challenge petered out.

Santa Cruz's miss from 12 yards gave them hope but it merely delayed the inevitable as well as signalling the start of a Brazilian inquest for the second summer in a row.

 Brazilian Dani Alves protests his innocence as referee Cunha shows him the yellow card
 Firmino (left) heads the ball as Paraguay defender Pablo Cesar Aguilar looks on in the background
 David Luiz (centre) is among the Brazilian substitutes looking on as the national anthem is played
 Both teams stand on the pitch and face the stands as the national anthems are played prior to the match


Paraguay and Brazil fans in the stands ahead of kick-off at the Ester Roa Rebolledo Stadium
 
Support : #BegaKwaBegaNaMamaSamia | JAK | CCM Arusha
Copyright © 2011. CCM Dijitali - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Jasper K
Proudly powered by Blogger
Link